Vigae vya kufugia ndege vinatengenezwa Uturuki

Vigae vya kufugia ndege vinatengenezwa Uturuki

Materials ukute zinatoka Tanzania
Kutengeneza vigae mahitaji ya muhimu ni udongo na maji na tanuri lenye joto hitajika. Kuna joto linalofaa kuokea matofali ya msingi , matofali ya kupandishia nyumba na joto la vigae.
 
Hawa waturuki Wanashivamia bongo sasa, Mara kuna wale wanaotengeneza madirisha kule Goba...Mara Hawa wavigae nao
 
Utotoni nlikuwa nafuga sana njiwaa
+nilikuwa mwizi sana wa njiwaaaa pia

Naona vibanda vyetu vilikuwa tofauti na hivyoo

Ova
 
Back
Top Bottom