Pata pespi baridi.Ukipata vya kufugia nyoka nishtue
Ungekuwa unajua faida ya kupanda maua nyumbani pako basi ungejua faida ya hayo mavi ya hao ndege.Hicho kinyesi cha ndege kitakavochafua paa lako ndio utajua ndege kwao ni porini sio nyumbani
Mbona mabanda ya njiwa yanavuja? Au kwa sababu ni mabati?Mvua kubwa ikinyesha inasafisha paa. Ukiweka vigae vya kufugia ndege ondoa wazo la kuvuna maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani.
Umesema hivi.Sijakuelewa
Hukunielewa nimesema paa lisilo na kinyesi cha ndege unaweza kuvuna maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani.Umesema hivi.
Paaa iliyokuwa na kinyesi cha ndege haiwezi kuvuja?
Swali langu ni hili mbona mabanda ya njiwa ambayo tumejengea bati yanavuja? Au hayo maelezo yako ni maalumu kwa paa zenye vigae?
Sawa. Asante.Hukunielewa nimesema paa lisilo na kinyesi cha ndege unaweza kuvuna maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani.
Me sijaipenda hasilani..!hii safi nimeipenda