Nyarupala
JF-Expert Member
- Jun 2, 2024
- 494
- 856
Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe hivyo. Eti "sijui kama Kuna joto dar". Vijana tuache uvivu , hili ni kosa dogo lakini linaharibu brand ya kampuni.
Baba levo unafeli wapi mbona vijana wapo wengi sana mtaani na hawana kazi Tena unawalipa mshahara unataka wewe lakini unaokidhi angalau Kodi na kula yao.
Baba levo unafeli wapi mbona vijana wapo wengi sana mtaani na hawana kazi Tena unawalipa mshahara unataka wewe lakini unaokidhi angalau Kodi na kula yao.