Vigezo gani vinatumika, mtu kuchaguliwa UDOM au UDSM?

Vigezo gani vinatumika, mtu kuchaguliwa UDOM au UDSM?

Nakumbuka Tangazo la kazi,lililo ruhusu watu wote wenye sifa Kuomba Except Udom.
 
Mi nashukuru Mungu nilipata chuo cha ndoto zangu aisee chuo nilikipenda since i was young that y i love udsm huyo dogo woga wake tu kama anapenda kitu au chuo angekiandika cha kwanza hafu tatizo la vijana wanasikiliza watu na hawafati wakipendacho baadae ndo wanaanza kujuta
 
Jonatus, academically kwa sasa UDOM iko vizur,wanaoomba na kukosa hawana sifa huanza kuponda, wiv tu! I real love UDOM!
 
Meek Meel,acha kuropoka,hakuna mtu timam aweza kutangaza nafas za kaz akasema mwombaj asiwe mhitim wa udom u are insane!
 
ajira cku hizi..ni mpaka uwe unamjua mtu aisee.
 
Udsm...
1} ni chuo cha kwanza kujengwa tanzania kwa kutoa shahada ya sheria
2} ni chuo kilichotoa wanamapinduzi,viongoz na marais wengi wa nchi za afrika eg mwanasheria mkuu wa kenya
3}Ni chuo kinachokimbiza afrika nzima na kuiwakilisha vema tanzania kielimu afrika.
4}Miaka mitatu hivi karibuni kilishika nafasi ya 3 kielimu afrika kikipitwa na vyuo viwili {2} vya misri.
5}Ni chuo kinachochukua wanafunzi wenye ufaulu wa juu
6}ni chuo kinachopenwa sana na wanafunzi hata na wazee..{mwambie mzee yeyote umechaguliwa udsm usikie}
Achen mbwembwe,udsm ndo jiwe la msingi,wasiolikubal chama hili walikosa kupata nafasi au ni watu wa kilimo {sua},ardhi{aru},udaktari{muhas},usafirishaji{nit}
 
Udom ni bonge la chuo, nimemaliza pale social science nasasa nipo kazini naendelea na Postgraduate chuo kingine ila nimeona tofauti isingekuwa kazi ningerudi palepale
 
Kama hadi matangazo ya kazi hayaitaki udom kweli hiki chuo bado sana

Msilishane matango pori humu...karibu wote mnaoiponda udom hamuijui ilivyo na ukiingia kitaa ndio utajua kama nani mjanja..aliyetusua lyf au aliyesoma udsm au udom...ssa wengi wenu mmekariri kuwa udom ni chuo cha vilaza..ssa mbaki hivyohivyo halafu ukija mtaani .com utarealize...kuna pipo kibao tu mwaka wetu (2012)tulipiga vzur tu .cyo dv 3 wala 4..cyo kwamba nnajigamba bt hamchelewi nyie...walipata multiple selection na mmojawapo ni mm...na udsm nliitosa na ckujutia maamuzi yangu..ssa we ambaye umekariri kuwa ni chuo cha vilaza..kaa hivyohvyo na fikra mgando..pga porojo wenzako wanasoma na wanatusua lyf...hakuna tangazo la ajira lililowahi toka na kusema hivyo...kama lipo taja na lete source hapa aumbuke mtu...
 
Back
Top Bottom