Udsm...
1} ni chuo cha kwanza kujengwa tanzania kwa kutoa shahada ya sheria
2} ni chuo kilichotoa wanamapinduzi,viongoz na marais wengi wa nchi za afrika eg mwanasheria mkuu wa kenya
3}Ni chuo kinachokimbiza afrika nzima na kuiwakilisha vema tanzania kielimu afrika.
4}Miaka mitatu hivi karibuni kilishika nafasi ya 3 kielimu afrika kikipitwa na vyuo viwili {2} vya misri.
5}Ni chuo kinachochukua wanafunzi wenye ufaulu wa juu
6}ni chuo kinachopenwa sana na wanafunzi hata na wazee..{mwambie mzee yeyote umechaguliwa udsm usikie}
Achen mbwembwe,udsm ndo jiwe la msingi,wasiolikubal chama hili walikosa kupata nafasi au ni watu wa kilimo {sua},ardhi{aru},udaktari{muhas},usafirishaji{nit}