Tetesi: Vigezo vikuu kabisa vya kuwa jeshi la wananchi (JWTZ)

Tetesi: Vigezo vikuu kabisa vya kuwa jeshi la wananchi (JWTZ)

muhuni mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
300
Reaction score
166
yeyote anayefahamu vigezo vyao vikuu kabisa ili uweze kujiunga na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ, napenda sana hii kazi
ASANTN
1.jpeg
 
Iyo najua yaan me namaanisha sifa wazfa wako
Inategemea tangazo la msimu/intake hiyo linahitaji nini!
-Utimamu wa mwili kiafya
-Utimamu wa mwili katika viungo(ulemavu hawana)
-Mwili safi kama unaenda kupokea sakramenti(hauna mamichoro,makovu makubwa wala tattoo(yawezekana ndiyo michoro)
-vyeti halali vya taaluma vinavyohitajika kwa wakati huo
-Mtanzania(hasa wa kuzaliwa) tena mzalendo
-usiwe na vitendo hatarishi k.m utumiaji madawa ya kulevya na ushoga(uhusiano wa jinsi moja)
-usiwe una majukumu ya ndoa(au uyakane na ubebe msalaba wako wa majukumu utakayopewa)hadi utakaporuhusiwa
-uwe binadamu(hilo ni muhimu)
Zingatia hayo mzalendo wangu.Mengine utayakuta hukohuko.
 
Vigezo vikuu uwe mwenye afya njema Na mtiifuuuu.

hivyo ndiyo vigezo vikuu vingine mbwembwe tu.
 
Acha kumtisha mwenzio kuna mastaa duu kibao jeshini hadi mashoga wapo humo..
Duuuuu.. Mashoga hakuna. Wewe uliwaona wapi kijana. Afya nzuri. Usiwe na kilema. Akili nzuri. Uzalendo. Mtanzania. Umri 18/25. Ujaoa wala kuolewa. Utapimwa vizuri Sana. Kuangalia kama Wee Ni safi. Utainama kuangalia kama wewe ni shoga au laa
 
Acha ubishi mkuu mm pia nilibisha kama wewe hatupo salama kwenye hizo mambo ya ajabu ajabu hadi huko kwenye mabaka yapo mtaani tunao hao.
 
Back
Top Bottom