Tetesi: Vigezo vikuu kabisa vya kuwa jeshi la wananchi (JWTZ)

Tetesi: Vigezo vikuu kabisa vya kuwa jeshi la wananchi (JWTZ)

Wanatambulika kisheria au walipenya na kuingia "geshi" kwa ujanjaujanja na mbinu tu?
Sasa hapo ndio tujiulize maana tunaambiwaga wanaoingia huko wote wanainamishwa kupimwa ika cha ajabu bado watu design hiyo wamo humohumo.
sasa sijui walijibana kipindi wwnakaguliwa kuingia "geshi".
 
Acha kumtisha mwenzio kuna mastaa duu kibao jeshini hadi mashoga wapo humo..
Aisee kwa afya cheki kama hii, shoga anapitia wapi? Nasikiaga kule wanachunguza mwili wako full kwa kila defect, na ukiwa mbovu unatemwa tena kwa aibu. Kijana kuwa serious.
Screenshot_20190303_131103.jpeg
 
Huko katika Jeshi la Marekani ndio utakuta hao homosexual, lakini ndani ya TPDF hakuna huo uchafu
Kweli kabisa. Kabla ya Kwanza Kodi. Unachekiwa hile mbaya
1, mvua nguo. Unaambiwa kutoka mkataim Kwa mada kama Dakika 10. Alafu anaambiwa kuhoa Mara 3. Then unaambiwa vijana Hili kuangalia kama watu wanakula tigo
2. Kama ni msichana hivyo hivyo na wanakamua matiti.
 
La kwanza kabisa uwe hujawahi kuliwa "sega"usiwe na tatoo.. umri kuanzia 18 hadi 23 na kuendekea akili timamu mwili kuwa imara mtanzania halali elimu kuanzia kidato cha nne au la 7 kama (wakikuhitaji uwe na cheti cha fani wanayotaka wao kama itatokea) ila uhakika haupo hii hua ni bahati nasibu sana.
yeyote anayefahamu vigezo vyao vikuu kabisa ili uweze kujiunga na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ, napenda sana hii kazi
ASANTNView attachment 1076585
 
Malizia awe hajawahi kutoa "sega"
Inategemea tangazo la msimu/intake hiyo linahitaji nini!
-Utimamu wa mwili kiafya
-Utimamu wa mwili katika viungo(ulemavu hawana)
-Mwili safi kama unaenda kupokea sakramenti(hauna mamichoro,makovu makubwa wala tattoo(yawezekana ndiyo michoro)
-vyeti halali vya taaluma vinavyohitajika kwa wakati huo
-Mtanzania(hasa wa kuzaliwa) tena mzalendo
-usiwe na vitendo hatarishi k.m utumiaji madawa ya kulevya na ushoga(uhusiano wa jinsi moja)
-usiwe una majukumu ya ndoa(au uyakane na ubebe msalaba wako wa majukumu utakayopewa)hadi utakaporuhusiwa
-uwe binadamu(hilo ni muhimu)
Zingatia hayo mzalendo wangu.Mengine utayakuta hukohuko.
 
Back
Top Bottom