The Ape
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 330
- 475
Habari zenu wapendwa???
Natumaini wote mpo salama.
Naomba niwasilishe mada yangu ambayo imekua ni tatizo kwa watanzania wengi kuhusu elimu ya A-level.Hivi ni vigezo gani mtu anatakiwa awe navyo kujiunga A-level katika private schools???...Ni vigezo gani anatakiwa awenavyo kuchagua combination aitakayo???...
Mfano mzuri ni rafiki yangu niliemaliza nae kidato cha nne na sasa anasoma st.matthew kwa PCB lakini O-level ana DDE,Nasikia ni ruhusa mtu ukitimiza Credit tatu..basi ruksa kuchagua combination uitakayo Advance???...
Je mtu huyo ataruhusiwa kufanya mtihani wa mwisho bila vikwazo vyovyote kama kurudia credit au???....Nawasilisha kwenu viongozi.