Vigezo Vya A-Level kwa shule binafsi

Vigezo Vya A-Level kwa shule binafsi

The Ape

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
330
Reaction score
475
Habari zenu wapendwa???
Natumaini wote mpo salama.
Naomba niwasilishe mada yangu ambayo imekua ni tatizo kwa watanzania wengi kuhusu elimu ya A-level.Hivi ni vigezo gani mtu anatakiwa awe navyo kujiunga A-level katika private schools???...Ni vigezo gani anatakiwa awenavyo kuchagua combination aitakayo???...
Mfano mzuri ni rafiki yangu niliemaliza nae kidato cha nne na sasa anasoma st.matthew kwa PCB lakini O-level ana DDE,Nasikia ni ruhusa mtu ukitimiza Credit tatu..basi ruksa kuchagua combination uitakayo Advance???...
Je mtu huyo ataruhusiwa kufanya mtihani wa mwisho bila vikwazo vyovyote kama kurudia credit au???....Nawasilisha kwenu viongozi.
 
Bado cjakuelewa kijana,hio form four ndio ana DDE au?kama ana pass hzo sidhan kama anaruhusiwa kufanya mtihan advance,hapo st mathews nimesoma mm advance level so wakati nasoma mm walikua na utaratibu wa kuwachukua wanafunzi hata kama hajatimiza crdt 3 then anareseat b4 hajapiga paper ya 6,so sijui saiv huu mfumo wa BRN upoje
 
Ni hivi..Credit ametimiza yaani ana C kama tano hivi..lakini alinambia anataka kupiga PCB...katika masomo hayo matatu ndo ana DDE..
Wakati naenda nae kuchukua form walimuuliza kama ametimiza C tatu..then wakampa nafasi ya kuchagua combination..na anapiga hiyo comb bila kurudia credit..
 
Nimekuelewa kijana,kwa mathew hio haina shida kabisa,coz rafk yangu alikua na CDD kwenye comb yake PCM but tulifanya nae paper wala hakuambiwa areseat,tena hapo hapo mathew,muhimu awe na crdt za kuingilia advance tu ambazo zinamruhusu kufanya mtihani wa form6,kuna watu nawajua wamekuja kusoma history. A level wakat hata olevel hawakusoma na akaifanyia paper form6
 
Kwa mantiki hiyo inaonesha mtu akitimiza credit tatu na kuendelea yupo free kuchagua combination aitakayo ilimradi aimudu si ndiyo???
 
Ofcoz,kuna watu wanafanya paper form 6 na F kabisa alipata katika hilo somo,nakwambia hv kwa evidence sio nimehadithiwa,na pale mathew hawana compication hvy sana but kuna below ya kuingia form6
 
Habari zenu wapendwa???
Natumaini wote mpo salama.
Naomba niwasilishe mada yangu ambayo imekua ni tatizo kwa watanzania wengi kuhusu elimu ya A-level.Hivi ni vigezo gani mtu anatakiwa awe navyo kujiunga A-level katika private schools???...Ni vigezo gani anatakiwa awenavyo kuchagua combination aitakayo???...
Mfano mzuri ni rafiki yangu niliemaliza nae kidato cha nne na sasa anasoma st.matthew kwa PCB lakini O-level ana DDE,Nasikia ni ruhusa mtu ukitimiza Credit tatu..basi ruksa kuchagua combination uitakayo Advance???...
Je mtu huyo ataruhusiwa kufanya mtihani wa mwisho bila vikwazo vyovyote kama kurudia credit au???....Nawasilisha kwenu viongozi.

kama una crdt 3 unaweza kubadlisha combi ila hakikisha comb unayotaka kusoma tofaut na hzo crdt 3 bac uwe na pass ya hyo comb yko mpya
 
Jaman kuna mdogo wangu ana B ya Kisw, C ya English na D tatu za History, Geog na Civics je anaruhusiwa kusoma advance hapo..
 
Hapo sijajua...ila kwa private school,wanataka C tatu kujiunga A-level.
 
Jamani kuna mdogo wangu ana credit tatu lakina ana division four ya 32 je atapata A-level kwa private?
 
Huyo anapata bila shida na private bado wanaingia tu...Mpeleke kama kuna uwezekano kaka.
 
Back
Top Bottom