Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Katika utoaji wa ajira za walimu kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusiana na vigezo vinavyotumiwa kupata walimu.
Nataka nizungumzie kigezo cha mwaka wa kuhitimu chuo.
Sio sahihi na haki kumwajiri mwalimu aliyehitimu chuo mwaka 2018 ukamuacha aliyehitimu mwaka 2017, 2016 na 2015 (wenye masomo yaleyale).
Kumbuka kuwa kwa kiasi kikubwa muda wa kuhitimu chuo huendana na umri wa mwombaji, hivyo serikali wanapoajiri mwalimu aliyehitimu mwaka 2018 na kuacha wa nyuma yake, inawafanya walimu wazekee mtaani bila kuajiriwa.
Hii si sahihi na si haki.
Natoa angalizo kwa wahusika ili waliangalie hili kwenye ajira zinazofuata.
Naamini serikali itasikia na kutatua.