Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Kazi ya mitandao ya kijamii ni ipi hasa?Hayo mambo yatume kwa katibu mkuu utumishi ndio yatafanyiwa wa kazi
Waliopo huko mjini, wengi ni makada, wasio na vyama wako vijijini wameungana na walimu wenye mlengo wa upinzani.Ila kipaumbele cha ajira kijikite kwenye waalimu wa sayansi na lugha. Kwa shule za mjini upande wa shule ya msingi waalimu iwahamishe waalimu walioko iwapeleke vijijini...
Unanikumbusha vijiji vya Kaliua kama Vumilia,Kazaroho na Nkokoto.Ila kipaumbele cha ajira kijikite kwenye waalimu wa sayansi na lugha. Kwa shule za mjini upande wa shule ya msingi waalimu iwahamishe waalimu walioko iwapeleke vijijini.
Uwingi wao ni tatizo ni tatizo nimetembelea baaadhi ya halmashauri ya mfano kaliua, urambo, kigoma, songea sumbawanga waalimu wamejaza mjini kazi kupiga storyza kina diamond na alikiba na kujiselfie, hawafundishi, wanafunzi anafika darasa 3 hajui kusoma, wala kundika waalimu wa kike kila mtu anabwana wake halmashauri ili amlinde.
Serikali itume wataalamu wake waje hasa wale wasiopenda rushwa na chini waje wafanye kazi. Serikali inapoteza pesa nyingi sana kwa ajili ya kuwalipa waalimu hawa wasiofanya kazi.
Da,Yawezekana hayo majina 5000 yakawa ya wahitimu wa 2019 tu.
Tambua kwenye hizo ajira,kuna waliobahatika na waliofanyiwa koneksheni.
Je unajua mwezi huu kuna mtu kaajiriwa na karipoti shuleni kimyakimya?
Hii ni Tanzania,tena mshukururu teknolojia imewasaidia kujua idadi haikua 13000,la sivyo ilikua imetoka hiyo kuwa wameajiriwa 13000 kumbe ni 8000
Ajira tayari na muda tu unasubiriwaWewe unatokea maeneo haya?
Lindi (Ruangwa).
Pwani (Kisarawe).
Kanda ya Ziwa.
Kama hutoki miongoni mwa hayo maeneo, kuhusu ajira za Ualimu sahau na fanya kazi zingine tu mkuu.