Sacsosanct
Member
- Sep 2, 2014
- 27
- 36
Hapana hakiweziHabari wadau! Naomba kujua dondoo muhimu kabla ya kufungua duka la dawa rejareja (pharmacy sio DLDM) na vigezo gani kuzingatia kabla sijaenda mamlaka husika niwe na ABCD. Asanteni wadau. Je, cheti cha mfamasia mmoja kinawezakutumika zaidi ya mara moja kwa wakati mmoja?
Mungu akubariki sana! Aksante!Mkuu, kabla ya yote itapaswa kwanza uwe na jina la hiyo Pharmacy yako. Kisha itabidi utafute eneo kwa kuzingatia vigezo kadhaa vilivyowekwa na baraza la famasi.
Mathalani, ukubwa wa chumba, umbali wake kutoka kituo cha mafuta, umbali kutoka hospitalini n.k.. (Doc ipo kwenye web ya baraza la famasi Tanzania)
Baada ya hapo itabidi uende ofisi za baraza lililo karibu yako, utalipia 100,000/= ya premise kuja kuangaliwa kama inakidhi vigezo. Wakija watakupa na recommendations za nini ufanye na uboreshe.
Baada ya hapo wataondoka ili ufanyie kazi mapendekezo yao na wewe kuanza ku furnish hiyo premise yako. Ikikamilika watakuja tena kukagua na kukupa green light.
Mean while, ukisharuhusiwa utapaswa kuwa na mfamasia wa kuendesha hiyo premise na cheti chake kinatumika kwa pharmacy 1 tu.
Muhimu, usianze kukarabati chumba au kulipia rent kubwa kabla jamaa hawajapitisha. Inaweza kukataliwa ukawa umekula hasara.
Doc ya vigezo ipo hapa chini.
Bila shaka mkuu, karibuMungu akubariki sana! Aksante!
Mkuu, kabla ya yote itapaswa kwanza uwe na jina la hiyo Pharmacy yako. Kisha itabidi utafute eneo kwa kuzingatia vigezo kadhaa vilivyowekwa na baraza la famasi.
Mathalani, ukubwa wa chumba, umbali wake kutoka kituo cha mafuta, umbali kutoka hospitalini n.k.. (Doc ipo kwenye web ya baraza la famasi Tanzania)
Baada ya hapo itabidi uende ofisi za baraza lililo karibu yako, utalipia 100,000/= ya premise kuja kuangaliwa kama inakidhi vigezo. Wakija watakupa na recommendations za nini ufanye na uboreshe.
Baada ya hapo wataondoka ili ufanyie kazi mapendekezo yao na wewe kuanza ku furnish hiyo premise yako. Ikikamilika watakuja tena kukagua na kukupa green light.
Mean while, ukisharuhusiwa utapaswa kuwa na mfamasia wa kuendesha hiyo premise na cheti chake kinatumika kwa pharmacy 1 tu.
Muhimu, usianze kukarabati chumba au kulipia rent kubwa kabla jamaa hawajapitisha. Inaweza kukataliwa ukawa umekula hasara.
Doc ya vigezo ipo hapa chini.
Kinaweza kama ni matawi ya mmiliki mmoja!!Hapana hakiwezi
Narudia kwa herufi kubwaKinaweza kama ni matawi ya mmiliki mmoja!!
HakiweziHabari wadau! Naomba kujua dondoo muhimu kabla ya kufungua duka la dawa rejareja (pharmacy sio DLDM) na vigezo gani kuzingatia kabla sijaenda mamlaka husika niwe na ABCD. Asanteni wadau.
Je, cheti cha mfamasia mmoja kinawezakutumika zaidi ya mara moja kwa wakati mmoja?
Polee mkuu but hayo yote kuna jamaa kashafanunua ndani ya sekunde kumi tu….upo dar nn..!!?Pia lazima uwe location na premises ambapo utalipa pesa inaitwa pre inspection fee ni laki Moja kama sikosei baada ya hapo wakaguzi watakuja kukagua location, Kisha premises Kisha watakupa go ahead ku improve hizo premises
Maelezo ni mengi mkuu nachoka ku type
Kinaweza kama ni matawi ya mmiliki mmoja!!
Nukuu kifungu kinachozuia mfamasia kusimamia duka la mmiliki mmoja lenye matawi mawili, na akasimamia matawi yote!!BIG NO
ukubwa wa chumba ni upi kwa dldm ie dimension za chumba cha kuuza dawaMkuu, kabla ya yote itapaswa kwanza uwe na jina la hiyo Pharmacy yako. Kisha itabidi utafute eneo kwa kuzingatia vigezo kadhaa vilivyowekwa na baraza la famasi.