young_mesult
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 133
- 35
Habari zenu mliomaliza form6 mwaka huu..ni hivi nakumbuka ilipofika wiki ya mwisho ya kufanya mtihani necta walituma walaka mashuleni kuhusu huu mchanganuo yaan i:3-7 ii:8-9 iii-10-13 hivyo pasi swali likawa je sifa za mtu kuhingia chuo ni vipi..kwenye huo walaka chini wakasema atleast mtu uwe na ccd ndio kiwango cha mwisho cha kuweza kuingia chuo..kana kwamba haitoshi tcu waliitisha semina pale daimond jubilee nakumbuka ilikua tarehe 22-24 maana mitihani yote ya practical iliisha 21..kwa waliokua dar walienda na walisisitiza ni muhimu na walitoa hiyo sifa ya kuingia chuo kwamba kiwango cha mwisho ni ccd...kwa hiyo wale wenyr four sizani kama wanaweza kupata chuo kwa kweli..ila hata huo walaka wa mchanganuo wa matumizi ya viwango vya ufahuru vipo necta pale ni vema mtu ukaenda kuperuzi kidogo..ni hayo tu asubuhi njema.