Tafadhali naomba anayefahamu vigezo vya kujiunga na Kidato cha 5 atuwekee humu jamvini.
Tovuti ya wizara ya elimu inaonesha kuwa wameshatoa vigezo lakini ukifungua link husika unakuta ni Barua Na. 1 ya mwaka 2013 inayohusu ongezeko la gharama za ukaguzi.