Vigezo vya kujiunga stashahada

Vigezo vya kujiunga stashahada

THE TWO YEAR DIPLOMA (NTA LEVEL 5 AND 6) COURSES IN BUSINESS ADMINISTRATION, ACCOUNTANCY, MARKETING, PROCUREMENT AND SUPPLY, AND INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGYAdmission RequirementsThese are as follows:-All programmes
  • Form Six Examination Certificate with at least one principal or two subsidiary Passes of the combination subjects or
  • Form IV with five (5) passes plus a one (1) year course from a NACTE recognized institution.
  • NTA- Level 4 (Basic Technician Certificate) in the programme applied for
  • ATEC I (NBAA)
  • Foundation Stage I (PSPTB/NBMM)u
UMEONA HATA CBE WAMEBADILI KUCHUKUA WATU KUTOKA O LEVEL NA KWENDA MOJA KWA MOJA DIPLOMA.
 
you dont understand yourself..

ndio wale wale waziri wa fedha masters mbili zote the same program bachelor mbili same program cv imeungwaungwa na gundi weeee unaogopa nini kwani wanaofuata series hawana haraka au
 
mtu ukimaliza form 4 unaweza soma diploma hii ipo sana kwenye kozi za sayansi ya engineering na health kwa mfano wale wanaofaulu form 4 waliochagua kwenda chuo na sio a level wanapelekwa dit?mbeya ist na arusha kule wanasoma diploma za engineering sio cheti mfano mwingine katika kozi za afya wizara ya afya inachukua wanafunzi wa form 4 kusoma dilploma za cliniclal officer,medical labaratory,nursing na zingine ili mradi uwe na PHY D,CHEM C,na BIOS C. kalibia vyuo vyote vya afya vinachukua watu hao.MTU IKIMALIZA FORM 4 UKIFAULU VIZURI UNASOMA DIPLOMA
 
Back
Top Bottom