mtu ukimaliza form 4 unaweza soma diploma hii ipo sana kwenye kozi za sayansi ya engineering na health kwa mfano wale wanaofaulu form 4 waliochagua kwenda chuo na sio a level wanapelekwa dit?mbeya ist na arusha kule wanasoma diploma za engineering sio cheti mfano mwingine katika kozi za afya wizara ya afya inachukua wanafunzi wa form 4 kusoma dilploma za cliniclal officer,medical labaratory,nursing na zingine ili mradi uwe na PHY D,CHEM C,na BIOS C. kalibia vyuo vyote vya afya vinachukua watu hao.MTU IKIMALIZA FORM 4 UKIFAULU VIZURI UNASOMA DIPLOMA