Paul Kijoka JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 1,399 Reaction score 255 Sep 1, 2012 #1 View attachment Miss-China-Wen-Xia-Yu-Miss-World-2012.jpg Kuchaguliwa Mrembo wa dunia kutoka China (kwenye picha) siamini kama kweli huyo dogo ni bomba kama wa kwetu huku bongo isee.
View attachment Miss-China-Wen-Xia-Yu-Miss-World-2012.jpg Kuchaguliwa Mrembo wa dunia kutoka China (kwenye picha) siamini kama kweli huyo dogo ni bomba kama wa kwetu huku bongo isee.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Sep 1, 2012 #2 Beauty with Brain.
Paul Kijoka JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 1,399 Reaction score 255 Sep 1, 2012 Thread starter #3 Zaweza kuwa dalili za China kuwafit kwa kila kona duniani. Usishangae wakaibuka wa kwanza kwenye fainali za kombe la dunia football. la msingi mimi nadhani wangetumia wanaume zaidi kuchagua walimbwende na si vigezo tata.
Zaweza kuwa dalili za China kuwafit kwa kila kona duniani. Usishangae wakaibuka wa kwanza kwenye fainali za kombe la dunia football. la msingi mimi nadhani wangetumia wanaume zaidi kuchagua walimbwende na si vigezo tata.
Paul Kijoka JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 1,399 Reaction score 255 Sep 1, 2012 Thread starter #4 Kongosho said: Beauty with Brain. Click to expand... kwahiyo wakwetu hawana bongo at mkuu. hahahahahaha.....
Kongosho said: Beauty with Brain. Click to expand... kwahiyo wakwetu hawana bongo at mkuu. hahahahahaha.....
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Sep 1, 2012 #5 wanaangalia vitu vingi sana, kama ufahamu wako jinsi unavyofikiri, kipaji na mambo mengi
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Sep 1, 2012 #6 sie hatuna warembo bana hilo tulikubali tuu