Vigezo vya kumchagua Miss World....Du!

Vigezo vya kumchagua Miss World....Du!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
1,399
Reaction score
255
View attachment Miss-China-Wen-Xia-Yu-Miss-World-2012.jpg

Miss-World-2012-Crowning.jpg
Kuchaguliwa Mrembo wa dunia kutoka China (kwenye picha) siamini kama kweli huyo dogo ni bomba kama wa kwetu huku
bongo isee.
 
Zaweza kuwa dalili za China kuwafit kwa kila kona duniani. Usishangae wakaibuka wa kwanza kwenye fainali za kombe la dunia football.
la msingi mimi nadhani wangetumia wanaume zaidi kuchagua walimbwende na si vigezo tata.
 
wanaangalia vitu vingi sana, kama ufahamu wako jinsi unavyofikiri, kipaji na mambo mengi
 
sie hatuna warembo bana hilo tulikubali tuu
 
Back
Top Bottom