Vigezo vya kumpa mtu uprofesa wana jf!

Uwezekano upo, inategemea na taratibu za chuo au nchi husika. Kuna nchi nyinge professor ni kama vile tunavyoweza kuita "mwalimu" kwa kiswahili (i.e. halina uhusiano na chuo kikuu).

Ndio nakubaliana nawe juu ya Professor kutumika kama mwalimu, actually hiyo ndio asili yake na liko hivyo katika lugha za kifaransa na kispanish- unaposema professor wao humaanisha mwalimu. Lakini kwa mleta thread alikuwa anataka kujua juu ya professor wa kama level ya utumishi wa taasisi ya elimu! maana kama ni u professor tu hata Maji marefu ni professor! na kuhusu taratibu za kupata hiyo "status" kwa Tanzania nijuavyo ni hadi uwe na shahada ya uzamivu kwanza!
 
bachelor>masters>doctorate>then ufumbuzi wa kitu cha kipekee na kikubalike then unatunukiwa Uprofesa
 
mkuu phd bila masters ? inakuajemkuu tuwekee ukweli humu jf

Yap! inawezekana kuna mwalimu wangu mmoja pale UDSM, wakati anafanya Masters yake alikusanya data nyingi sana silizomuwesesha kujibu maswali mengi kutokana na field yake, alipoandika Thesis yake na kuisubmitt chuoni kwake kwa MSc award extenal examiner aka recommend kwa chuo kuwa waiupgrade ile Msc na kuwa PhD! mwingine alikuwa nasoma Msc pale chuo kikuu cha Dar na kabla hajaimaliza akawa amepata PhD scholarship Marekani, akaenda kuanza PhD yake kabla haja defend Msc yake na sasa tiyari ana PhD na hakuwahi kuidefend Msc so kwa maana hiyo hana Masters! mwingine ninafanya nae kazi juzi tu amepata PhD yake na hakuwahi kusoma hiyo Masters, yaani moja kwa moja from Bachelor to PhD! Ila katika incidence zote hizi lazima nikiri kuwa PhD hizi zote hotolewa vyuo vya nje ya Tanzania, sijui kama hapa Bongo hili linawezekana!
 
wewe kweli bongolala

Kati ya mimi na wewe nani ni bongolala aka popompoo? Wewe ndio popompoo! Mimi sio professor na wewe sio professor sasa nitajibu vipi njia za kuupata uprofessor wakati sio professor? Ndio maana nikamwambia amtafute Steven Ngonyani atamfafanulia njia za kupitia,au haujaelewe swali la muulizaji? Ameuliza Hivi
"Swali langu wana jf ni kwamba ni vigezo
gani hasa vya msingi hutumika kumpa
mtu uprofesa
ni kugundua vitu au ni ni
ni ?
 
... na kuhusu taratibu za kupata hiyo "status" kwa Tanzania nijuavyo ni hadi uwe na shahada ya uzamivu kwanza!
Ndio maana nikasema inategemea na nchi ( na labda kwa kuongeza, field pia - kuna fields nyingine, "terminal degree" sio PhD). Angalia nchi kama Iraq, kwa mfano ambapo unaweza kuwa Professor bila ya PhD. Kama nakumbuka vema, unaweza pia kuangalia CV ya (Associate) Professor Elias Jengo wa hapo UDSM.
 
kingkong mimi ndo SAMITI aka mpigamsuli
 
Wahenga walipata kunena ficha upumbavu wako onyesha hekima yako
 
yeah for instance kwa US as long as mtu anafundisha kwenye chuo, regardless of the daraja ataiwa college professor. i agree with u mkuu
Uwezekano upo, inategemea na taratibu za chuo au nchi husika. Kuna nchi nyinge professor ni kama vile tunavyoweza kuita "mwalimu" kwa kiswahili (i.e. halina uhusiano na chuo kikuu).
 
Reactions: SMU
saafi majutomperungu bora umeliona hilo cha msingi ni kumuacha huyo bongolala bin kilaza by mpogamsuli

Mpigamsuli, what goes around comes around, hata wewe muda flan huwa unacoment vitu vya ajabu sana,
 
mkuu phd bila masters ? inakuajemkuu tuwekee ukweli humu jf

Kwenye hili..Europe nimeona baadhi ya vyuo tena maarufu vikitangaza masomo ya phd na kigezo ni degree moja na km ukipeleka phd paper ikakubaliwa basi unakuwa enrolled kusoma phd!so it is possible japo kwa tanzania sijuhi!
 
Mtafute mtu m1 anaitwa Steven Ngonyani ni mbunge wa korogwe vijijini na yeye ni proffesor atakuelezea vizuri taratibu za kuupata!

Sema Mh.. mbona unakiuka utaratibu wa nchi.. Mtu m1 ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…