Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,058
- 1,609
Uwezekano upo, inategemea na taratibu za chuo au nchi husika. Kuna nchi nyinge professor ni kama vile tunavyoweza kuita "mwalimu" kwa kiswahili (i.e. halina uhusiano na chuo kikuu).
Ndio nakubaliana nawe juu ya Professor kutumika kama mwalimu, actually hiyo ndio asili yake na liko hivyo katika lugha za kifaransa na kispanish- unaposema professor wao humaanisha mwalimu. Lakini kwa mleta thread alikuwa anataka kujua juu ya professor wa kama level ya utumishi wa taasisi ya elimu! maana kama ni u professor tu hata Maji marefu ni professor! na kuhusu taratibu za kupata hiyo "status" kwa Tanzania nijuavyo ni hadi uwe na shahada ya uzamivu kwanza!