Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu Watanzania, moja ya kigezo kwa mujibu wa maelekezo ya bodi ya mikopo nikuwa BODI itatoa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita 2010-2012....
Jaman vipi sisi watoto wa wakulima tuliomaliza miaka ya nyuma na tunahitaji kuendelea kwa sasa[/QUOTE
sasa wewe ulikua loan board ungewauliza hukohuko wangekupa jibu la kueleweka