Vigezo vya kupata Mkopo CRDB Benki

muta ngegi

Senior Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
167
Reaction score
129
Habari za asubuhi Wanajf!
Bila kipoteza muda,naombeni kujua ni vigezo gani vitaniwezesha kupata mkopo wa Biashara CRDB Benki.
NB:
Ni mara ya kwanza na naona kwenda Tawini ni changamoto nipo Shambani
 
1. Akaunti na CRDB
2. Financial statements
3. Security au collateral
4. Business premises
5. Business plan.
 
Habari za asubuhi Wanajf!
Bila kipoteza muda,naombeni kujua ni vigezo gani vitaniwezesha kupata mkopo wa Biashara CRDB Benki.
NB:
Ni mara ya kwanza na naona kwenda Tawini ni changamoto nipo Shambani
Wapigie kwenye namba hii watakuelekeza vizuri
0714197700.
 
Jipange Sasa Yaani Unaomba Mkopo Halafu Afisa Mikopo Naye Anakuzunguusha Mpaka Utoe Chochote Lakini Ya Mkopo Unalipa Mwenyewe
 
Jipange n kurejesha pia kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…