Vigezo vya kusomea clinical officer.

Vigezo vya kusomea clinical officer.

Makunga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
771
Reaction score
551
Naombeni msaada wadau,nina mtoto wangu amemaliza form 4 na kufaulu masomo ya sayansi ila anataka kusomea uafisa tabibu.Je kwa elim yake ya form 4 anastahili.
 
kama amefaulu si aende form v.toa maelezo ya kutosha usaidiwe.....
 
Amefaulu/amefeli,maana kumalza 2 form 4,sio guarantee ya kusomea hcho anachotaka kusomea?
 
Back
Top Bottom