Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ndugu zangu, kutokana na wanawake kuwageuza na kuwafanya wanaume kama vitega uchumi vyao kwa mgongo wa lazima kuhudumiwa, mahusiano na ndoa , vifuatavyo ni vigezo vya kutoa hela kwa mwanamke ambaye siyo mkeo, mzazi mwezako kwa bahati mbaya, dada yako au mama yako.
1) a) Lazima awe mpenzi wako na asiwe mpenzi wa maneno yaani lazima uwe Na ukaribu naye wakutosha, na ikibidi awe mkeo kabisa kwa ndoa au kwa uchumba sugu na kama ni uchumba sugu hakikisha umemzalisha kabisa
Haya mambo ya tutaonana tu mara samahani naomba nitumie 10,000 au 20,000 unatoa utachukia wanawake bila sababu kwani ukiwaendekeza utatoa hizo wakati mke wako na dada zako hata hela za chupi hawana, WAAMBIE SINA short and clear, akighuna mwambie kwa mkazo sina alafu piga kimnya endelea na mambo mengine.
b) Lazima awe mzazi mwezako tena iwe ni kwa bahati mbaya sana na mtoto uwe umethibitisha kabisa kwa kupima DNA kuwa ni damu yako halali ila isiwe ni kwayeye kutaka usingle mama, iwe imetokea tuu umeruka na mwanamke ghafla akapata ujauzito wako na teyari una mke na imani yako hairuhusu kuoa wake zaidi ya mmoja hapa toa hela ya kuhudumia mwanao na nyingine toa kwaajili ya kifuta machozi kwa huyo mzazi mwezako ikibidi mpe mtaji mdogo wa biashara ndogo ndogo alafu wewe ubaki una hudumia mtoto wako tuu basi. Tena uwe na uhakika wa kumuona mwanao muda wowote utakapo hitaji akuletee mwanao uonane nae
C) Kama umempa mwanamke fresh mimba na hauja oa, muoe weka ndani hela atazikuta ndani, kama hataki achana nae kabisa wala mtoto usiudumie akitaka huduma ya mtoto mwambie aje mkae wote utahudumia mtoto na yeye. HATAKI ACHANA NAE ila uwe una mnyatia mtoto wako chini chini kujua maendeleo yake
2) Mwanamke wa kumpa PESA
a) Ni yule mwanamke ambaye kwanza ni mke wako na awe mke mwema tena awe anajulikana kwenu na wewe unajulikana kwao na kila ndugu yake haijalishi mmefunga ndoa au mnaishi uchumba sugu pia haijalishi amezaa au hajazaa ila jitahidi umzalishe haraka, pia awe ni mke ambaye anaonyesha juhudi za kubaki kupigania ndoa yake na mumeo na mwenye future ya maisha hata kimtazamo tuu
b) Ni yule mwanamke ambaye ukimtaka unampata na wakati mwingine anakuwa na hamu ya kuwa na wewe muda wowote anakuja na siyo yule aliyekupa kwa bahati mbaya halafu ndio kakufanya wewe ni wallet yake hajarudi tena na haonyeshi dalili yoyote ya kukupa au kumpata tena. Ila unasumbuka kutuma hela itafika wakati utamtukana na kujutia sana, MWAMBIE SINA USIUMIZE KICHWA kama ana akili atajua kabisa huyu mwanaume hapendi ujinga
3) Umemtokea mtoto wa kike ameonyesha uelekeo lakini ubize haumuishi, MUACHE ABAKI KUWA rafiki ila PESA usitoe sababu mpo kama 50 hivi wote anacheza na akili zenu, tena kaa mguu ndani mguu nje na usimuweke moyoni kabisa , kamwe usimuite hata yale majina mazuri ya kimapenzi ila muite na mwandikie my friend ili ajue kuwa umemfanya kuwa rafiki nasiyo vinginevyo
4) Mwanamke anayetakiwa kupewa PESA ni yule ambaye siku zote yupo hapo kwa ajili yako yaani hata kama ana wengine usijali na usitake kujua, ila ukimtaka unampata na wakati mwingine anakutafuta wewe BABY I MISS YOU mpe pesa hata kama hajaomba ila iwe hela kidogo sana na wakati mwingine wekeza kile unachoweza kukipoteza
5.Mwanamke ambaye hawezi kukwambia bebi nina hamu na wewe na akauliza lini upo na muda nije na akaja huyu MPOTEZEE KIPESA ASILAMBE HATA SHILINGI YAKO, yeye akikuomba nataka tuonane anataka out anataka savana mpotezee kabisa usimpe pesa heri lawama na matusi kuliko hasara, amani ya moyo wako na pesa zako ni bora sana kuliko huyu chuma ulete
6.Mwanamke ambaye ukimuonyesha kuwa unamuhitaji Kwa sex sababu haziishi MFANYE AWE rafiki SABABU HAKUFAI HUYO yupo na wewe kwa sababu ya PESA na si kingine, akiwa na shida na pesa asubuhi saa 6:00 am ameshakutext yeye msg zake huwa ni hela tu hana shukrani, muweke kwenye kundi la rafiki asiye na mchango wowote kwenye maisha yako na wakati mwingine hata txt zake usijibu kabisa ili ajue huna muda nae
7.Yule mwanamke unaye date naye kwenye mitandao hamjawahi kuonana lakina haishi kudanganya naumwa ,nina njaa naomba hela nikanunue chakula yaani huyo abaki kuwa rafiki tu, ukimwambia kuja anasema Tuma nauli, narudi usitume nauli ...huo ni mtego hiyo hela mtumie mama yako angalau ...USITUME PESA KWA MWANAMKE MLIYEKUTANA KWENYE MITANDAO, labda kama huwa anakuja hapo ni sawa kumpa hata hela ya nauli kidogo
Ndugu zangu Wanaume msije mkatoa hela zenu kinyume na hapa, wanawake hawana huruma na wanaume wala hawana cha kupoteza kwako na ndiyo maana mkiachana utasikia anakuambia kwani nilikulazimisha unipe..... Kwani ulikua huna akili mpaka unanipa hela..... Mara akili kichwani kwako.....
NB: KAMA HUNA MKE MWEMA HALALI NA MAMA YUPO, EWE MWANAUME MPE HELA MAMA YAKO