YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?
Jibu rahisi, Kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo yaliyomo kwenye fomu unapojaza maelezo yako.
Ukiirudisha Tume Baada ya Tume kujiridhisha beyond reasonable doubt kisheria ndio wanakutangaza mgombea.
Hivyo kuchukua fomu si kupitishwa, unapewa ukajaze maelezo binafsi na wadhamini.
Sasa wewe ukijichukulia kuwa tayari ni mgombea ukaanza kuchoma pesa zako kama umeshateuliwa hayo yako hayahusiani na tume
ndio maana hata Magufuli fomu yake anatembeza kimya kimya.
Wagombea wengine eleweni hilo. Fomu ukipewa ni kwenda kujaza personal particulars tu wadhamini tu hakuhitaji mbwembwe sababu uteuzi wa NEC bado.