Uchaguzi 2020 Vigezo vya mgombea kuenguliwa na NEC viko kwenye fomu aliyochukua NEC

Uchaguzi 2020 Vigezo vya mgombea kuenguliwa na NEC viko kwenye fomu aliyochukua NEC

Sharti la fomu hata wewe ukitaka hata usiwe na vigezo mradi chama kimekupitisha wanakpa ila hawakujui vizuri wao watakupa fomu ukajaze na utafute wadhamini ambao pia watahakikiwa ili usije weka wadhamini hewa!! Wanaokujua
Ukiirudisha ndio wanaanza kuangalia kimoja Baada ya kingine

Hivyo hii process ya kwanza simply Ni kujaza tu form na wadhamini na kurudisha tume...
Kwa hiyo mkuu naona unashadadia uenguaji wa wagombea, hebu tuambie unataka nani aenguliwe? Wagombea wote wana sifa acheni uoga miCCM.
 
NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.

Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?...
Basi kama na wewe kada mwandamizi umeweweseka kiasi hiki basi Lissu ni fimbo ya Lumumba kwelikweli.
 
Kwa nini unashadidia sana mgombea kuenguliwa na nec?
Ndiyo njia pekee iliyobaki nini?
NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.

Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?

Jibu rahisi kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo yaliyomo kwenye fomu unapojaza maelezo yako.

Ukiirudisha Tume Baada ya Tume kujiridhisha beyond reasonable doubt kisheria ndio wanakutangaza mgombea.

Hivyo kuchukua fomu si kupitishwa, unapewa ukajaze maelezo binafsi na wadhamini.

Sasa wewe ukijichukulia kuwa tayari ni mgombea ukaanza kuchoma pesa zako kama umeshateuliwa hayo yako hayahusiani na tume
ndio maana hata Magufuli fomu yake anatembeza kimya kimya.

Wagombea wengine eleweni hilo. Fomu ukipewa ni kwenda kujaza personal particulars tu wadhamini tu hakuhitaji mbwembwe sababu uteuzi wa NEC bado.
 
Lisu asingekuwepo tungeona zile ziara za kupeana pesa barabarani, lakini kwasababu Lisu yupo wamejificha.

Rais mzma unamuogopa mgombea?!
 
Magufuli hatafuti wadhamini kwa mbwembwe kama kichaa yuleeee. Nimemdhamini na wala sikuonana naye majina yametumwa tu
Kumbuka Magufuli mwenyewe akikiri kwa kinywa chake akiwa, nafikiri mkoa wa Mara, kuwa yeye ni kichaa. Sasa sijui utamteteaje wewe hapo.
 
Magufuli huyu anayenunua kuku na “indian burn” mbele ya camera leo hii inakuwaje eti kutafuta wadhamini kimyakimya.?
 
Sio Kweli ukisharudisha fomu yako ndio wanapitia maelezo mfano ulishawahi fungwa jela chama chako waweza ficha hiyo taarifa wakakuteua mgombea wao.Ukirudisha fomu ukaandika hujawahi fungwa wanahakiki na mahakama na magereza wakijua ulifungwa wanakupiga chini.

Hiyo fomu Sio final
hivi hakuna kipengele "ulishawahi kufukuzwa kwenye chama Cha siasa?
Ulishawahi kufukuzwa ubunge??
 
Sharti la fomu hata wewe ukitaka hata usiwe na vigezo mradi chama kimekupitisha wanakpa ila hawakujui vizuri wao watakupa fomu ukajaze na utafute wadhamini ambao pia watahakikiwa ili usije weka wadhamini hewa!! Wanaokujua...
Mbona sifa za mtu kugombea nafasi ya Urais zipo kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho hadi 2005) Ibara 39 na sifa hazifanywi siri, bali ni lazima zijulikane/ziwe wazi kwa wote wanaoomba kugombea?
 
Katiba hueleza jumla jumla haifafanui kwa undani sheria ndizo hufafanua kwa undani mgombea anatakiwa aweje

Ukisoma katiba Soma na sheria pia ya uchaguzi usiishie katiba tu
 
Magufuli alishatamba kwa kipindi cha miaka 5 na tayari huyu.anayeelewa keshampa onyo.
 
Sharti la fomu hata wewe ukitaka hata usiwe na vigezo mradi chama kimekupitisha wanakpa ila hawakujui vizuri wao watakupa fomu ukajaze na utafute wadhamini ambao pia watahakikiwa ili usije weka wadhamini hewa!! Wanaokujua...
Watu wanamfurahia Mungu kumponya Tundu Lisu shambulio Baya la Risasi 16 mwilini. Ni Muujiza kupona Kwa hiyo kila Mtu anatamani kumuona ndio sababu wanamfuata.
 
Mm nashauri Muheshimiwa Rais asifanye kampeni zozote na pia Bwana yule asimamishiwe kesi zake zooteee mpaka uchaguzi uishe ili agombeee halafu akipata hata Robo za kura za wa Tz mniambie,Bado sijaona mpinzani wa kusimama na Magu kwa Sasa.
Mwambieni safari hii sio push up tu kuomba kura, aruke mpaka kichura chura kutushawishi
 
NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.

Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?

Jibu rahisi kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo yaliyomo kwenye fomu unapojaza maelezo yako.

Ukiirudisha Tume Baada ya Tume kujiridhisha beyond reasonable doubt kisheria ndio wanakutangaza mgombea.

Hivyo kuchukua fomu si kupitishwa, unapewa ukajaze maelezo binafsi na wadhamini.

Sasa wewe ukijichukulia kuwa tayari ni mgombea ukaanza kuchoma pesa zako kama umeshateuliwa hayo yako hayahusiani na tume
ndio maana hata Magufuli fomu yake anatembeza kimya kimya.

Wagombea wengine eleweni hilo. Fomu ukipewa ni kwenda kujaza personal particulars tu wadhamini tu hakuhitaji mbwembwe sababu uteuzi wa NEC bado.
Kwani 2015 aliwatafutaje?
 
Mm nashauri Muheshimiwa Rais asifanye kampeni zozote na pia Bwana yule asimamishiwe kesi zake zooteee mpaka uchaguzi uishe ili agombeee halafu akipata hata Robo za kura za wa Tz mniambie,Bado sijaona mpinzani wa kusimama na Magu kwa Sasa.
Wewe ndio hujaona ila sisi wapiga kura tunaenda kumchinjilja mbali huyo jiwe!Safari hii ataruka mpaka kichurachura kuomba kura!
 
hivi hakuna kipengele "ulishawahi kufukuzwa kwenye chama Cha siasa?
Ulishawahi kufukuzwa ubunge??
Tusubiri Wajaze kwanza .Ndipo mbivu na mbichi zitakapojulikana. Hicho ndicho NEC wanasubiri sababu huwezi tu Anza ohh wewe sikupi fomu ukishawahi fukuzwa chama Cha siasa au kufukuzwa ubunge.

NEC inasubiri wajaze taarifa zao kwanza officially kwenye fomu wagombea Uraisi,ubunge na udiwani .Wakizirudisha Ndipo uchambuzi utafanywa kujua mtu alifukuzwa ubunge au alifukuzwa chama no natapewa jibu linalomstahili Bila tume kuogopa mtu urefu wake au ufupi wake ,kelele zake au upole wake.kukodoa macho Sana kwake au kuminya macho

NEC itasimama katikati ya Sheria inavyotaka Bila kuyumba kushoto au kulia na kutoa maamuzi stahiki
Ndio Maana Jaji kawekwa kuwa kiongozi wa tume Sababu kunatakiwa maamuzi ya ki jaji kuamua mtu ateuliwe kugombea au la.Fomu zao zikitua kwa jaji Kaijage NEC ndipo tusubiri maamuzi ya ki jaji kwa Sasa walichukua fomu bado wanaendelea kujaza maelezo kwenye fomu .Wako wanaojaza kwa mbwembwe na kelele nyingi na wako wanaojaza kimya kimya kila mtu na staili yake.

Tuvute subira
 
Magufuli Hana haja ya Kujitangaza kuwa nakuja kutafuta wadhamini fomu yake inatembezwa juu kwa juu yeye Bila kutoka jasho kukodi bodaboda kupigwa picha za visimu vya mitumba selfie na kutoa vihotuba Koko vya kujikomba iki ajaziwe fomu na wadhamini
Hivi kumbe haya mambo yanawezekana! Nilidhani ni lazima mtu binafsi apite kote huko yeye mwenyewe kuomba kudhaminiwa.

Na sio kutumia wadhamini kuomba wadhamini.

Lisu Jumbe wako bila shaka bado yupo.
 
Hivi kumbe haya mambo yanawezekana.! Nilidhani ni lazima mtu binafsi apite kote huko yeye mwenyewe kuomba kudhaminiwa.

Na sio kutumia wadhamini kuomba wadhamini.

Lisu Jumbe wako bila shaka bado yupo.
Kuzungusha fomu si lazima uzungushe mwenyewe waweza tuma mtu akuzungushie kimya kimya .Wewe unapumzika upate nguvu kampeni zikianza ukiteukiwa uwe fit usiwe umechoka Sana kea misunguko.Anakuletea una saini unapeleka tume
 
Back
Top Bottom