Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Kwa hiyo mkuu naona unashadadia uenguaji wa wagombea, hebu tuambie unataka nani aenguliwe? Wagombea wote wana sifa acheni uoga miCCM.Sharti la fomu hata wewe ukitaka hata usiwe na vigezo mradi chama kimekupitisha wanakpa ila hawakujui vizuri wao watakupa fomu ukajaze na utafute wadhamini ambao pia watahakikiwa ili usije weka wadhamini hewa!! Wanaokujua
Ukiirudisha ndio wanaanza kuangalia kimoja Baada ya kingine
Hivyo hii process ya kwanza simply Ni kujaza tu form na wadhamini na kurudisha tume...
Basi kama na wewe kada mwandamizi umeweweseka kiasi hiki basi Lissu ni fimbo ya Lumumba kwelikweli.NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?...
Hueleweki unataka kusema nini!!NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?...
NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?
Jibu rahisi kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo yaliyomo kwenye fomu unapojaza maelezo yako.
Ukiirudisha Tume Baada ya Tume kujiridhisha beyond reasonable doubt kisheria ndio wanakutangaza mgombea.
Hivyo kuchukua fomu si kupitishwa, unapewa ukajaze maelezo binafsi na wadhamini.
Sasa wewe ukijichukulia kuwa tayari ni mgombea ukaanza kuchoma pesa zako kama umeshateuliwa hayo yako hayahusiani na tume
ndio maana hata Magufuli fomu yake anatembeza kimya kimya.
Wagombea wengine eleweni hilo. Fomu ukipewa ni kwenda kujaza personal particulars tu wadhamini tu hakuhitaji mbwembwe sababu uteuzi wa NEC bado.
Kumbuka Magufuli mwenyewe akikiri kwa kinywa chake akiwa, nafikiri mkoa wa Mara, kuwa yeye ni kichaa. Sasa sijui utamteteaje wewe hapo.Magufuli hatafuti wadhamini kwa mbwembwe kama kichaa yuleeee. Nimemdhamini na wala sikuonana naye majina yametumwa tu
Nec ya ccm.Tunasubiri chekeche la NEC lituchambulie pumba na mashudu
hivi hakuna kipengele "ulishawahi kufukuzwa kwenye chama Cha siasa?Sio Kweli ukisharudisha fomu yako ndio wanapitia maelezo mfano ulishawahi fungwa jela chama chako waweza ficha hiyo taarifa wakakuteua mgombea wao.Ukirudisha fomu ukaandika hujawahi fungwa wanahakiki na mahakama na magereza wakijua ulifungwa wanakupiga chini.
Hiyo fomu Sio final
Mbona sifa za mtu kugombea nafasi ya Urais zipo kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho hadi 2005) Ibara 39 na sifa hazifanywi siri, bali ni lazima zijulikane/ziwe wazi kwa wote wanaoomba kugombea?Sharti la fomu hata wewe ukitaka hata usiwe na vigezo mradi chama kimekupitisha wanakpa ila hawakujui vizuri wao watakupa fomu ukajaze na utafute wadhamini ambao pia watahakikiwa ili usije weka wadhamini hewa!! Wanaokujua...
Katiba hueleza jumla jumla haifafanui kwa undani sheria ndizo hufafanua kwa undani mgombea anatakiwa awejeMbona sifa za mtu kugombea nafasi ya Urais zipo kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho hadi 2005) Ibara 39 na sifa hazifanywi siri, bali ni lazima zijulikane/ziwe wazi kwa wote wanaoomba kugombea?
Watu wanamfurahia Mungu kumponya Tundu Lisu shambulio Baya la Risasi 16 mwilini. Ni Muujiza kupona Kwa hiyo kila Mtu anatamani kumuona ndio sababu wanamfuata.Sharti la fomu hata wewe ukitaka hata usiwe na vigezo mradi chama kimekupitisha wanakpa ila hawakujui vizuri wao watakupa fomu ukajaze na utafute wadhamini ambao pia watahakikiwa ili usije weka wadhamini hewa!! Wanaokujua...
Mwambieni safari hii sio push up tu kuomba kura, aruke mpaka kichura chura kutushawishi
Kwani 2015 aliwatafutaje?NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?
Jibu rahisi kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo yaliyomo kwenye fomu unapojaza maelezo yako.
Ukiirudisha Tume Baada ya Tume kujiridhisha beyond reasonable doubt kisheria ndio wanakutangaza mgombea.
Hivyo kuchukua fomu si kupitishwa, unapewa ukajaze maelezo binafsi na wadhamini.
Sasa wewe ukijichukulia kuwa tayari ni mgombea ukaanza kuchoma pesa zako kama umeshateuliwa hayo yako hayahusiani na tume
ndio maana hata Magufuli fomu yake anatembeza kimya kimya.
Wagombea wengine eleweni hilo. Fomu ukipewa ni kwenda kujaza personal particulars tu wadhamini tu hakuhitaji mbwembwe sababu uteuzi wa NEC bado.
Wewe ndio hujaona ila sisi wapiga kura tunaenda kumchinjilja mbali huyo jiwe!Safari hii ataruka mpaka kichurachura kuomba kura!Mm nashauri Muheshimiwa Rais asifanye kampeni zozote na pia Bwana yule asimamishiwe kesi zake zooteee mpaka uchaguzi uishe ili agombeee halafu akipata hata Robo za kura za wa Tz mniambie,Bado sijaona mpinzani wa kusimama na Magu kwa Sasa.
Tusubiri Wajaze kwanza .Ndipo mbivu na mbichi zitakapojulikana. Hicho ndicho NEC wanasubiri sababu huwezi tu Anza ohh wewe sikupi fomu ukishawahi fukuzwa chama Cha siasa au kufukuzwa ubunge.hivi hakuna kipengele "ulishawahi kufukuzwa kwenye chama Cha siasa?
Ulishawahi kufukuzwa ubunge??
Hivi kumbe haya mambo yanawezekana! Nilidhani ni lazima mtu binafsi apite kote huko yeye mwenyewe kuomba kudhaminiwa.Magufuli Hana haja ya Kujitangaza kuwa nakuja kutafuta wadhamini fomu yake inatembezwa juu kwa juu yeye Bila kutoka jasho kukodi bodaboda kupigwa picha za visimu vya mitumba selfie na kutoa vihotuba Koko vya kujikomba iki ajaziwe fomu na wadhamini
Kuzungusha fomu si lazima uzungushe mwenyewe waweza tuma mtu akuzungushie kimya kimya .Wewe unapumzika upate nguvu kampeni zikianza ukiteukiwa uwe fit usiwe umechoka Sana kea misunguko.Anakuletea una saini unapeleka tumeHivi kumbe haya mambo yanawezekana.! Nilidhani ni lazima mtu binafsi apite kote huko yeye mwenyewe kuomba kudhaminiwa.
Na sio kutumia wadhamini kuomba wadhamini.
Lisu Jumbe wako bila shaka bado yupo.