Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ugumu wa maisha umefanya familia nyingi za uswahilini kushindwa kuelekeza maadili mema kwa watoto wao, watoto wanaishi kama watoto wa kuku aliyeanza kutetea, hili ni jambo linalofichwa, halielezwi wazi wazi.
Tukitaka kuadhimisha siku ya Ukimwi ni lazima tuanzie ngazi ya chini kabisa, ni lazima tuhakikishe mila za kishenzi kama hizi za vigodoro zizimwe kabisa, bila hivi Ukimwi hauwezi kukoma.