Kwani vigodoro vinafanyikia ufichoni?
Kwenye kadamnasi waweza kufanyaje hayo maambukizi?
Ama unazungumzia sanaa ya mauno 'inavoita'?
Sasa mauno ya show, yanahusiana vipi na ngono uzembe, hauelewi hayo ni mazoezi kwa ajili ya afya za wachezaji na watazamaji?
Kuna mawili: mambo ya temptetion yalivyo, yawezakuwa, mleta mada anatamani hivyo viuono feni, lakini hana jinsi kutokana na mazingira yake hayamruhusu, ama alijaribu yeye mwenyewe kuingia ngomani acheze vikamshinda.
Haiwezekani tamaduni za watu tuje tuanze kuzisasambua Jf.
Maana waAfrika tulivyo wanafiki, tunapenda sana kulaani vitu vinavyotutamanisha na kuvifanya, tunalaani ili wengine 'wasijanjaruke' ama tuna laani vitu au mambo tuliyojaribu yakatushinda period