Vigogo 3 kufukuzwa Ikulu kwa wakati mmoja ina maana gani?

VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano.

Uamuzi huu mgumu huenda kuna jambo kubwa tusilolijua hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa 2025, lakini maswali ya kiujiuza je Huyu Mshauri wa Rais Sheria aliweza kutekeleza vizuri majukumu yake ya kumshauri Rais kwenye mambo ya kisheria?

Mshauri wa Rais Siasa je naye katika kipindi chote alichokuwa Ikulu aliweza kutekeleza majukumu yake ya kumshauri Rais kwenye mambo ya siasa? Tatu Mshauri ya Rais Mawasiliano na Habari je naye aliweza kumshauri vizuri Rais kwenye eneo la mawasiliano na habari?

Pia soma
"Kigogo" anayetakiwa kufurushwa huko Ikulu ni mmoja tu; hao wengine ni uonevu unaofanyika.
 
VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano.

Uamuzi huu mgumu huenda kuna jambo kubwa tusilolijua hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa 2025, lakini maswali ya kiujiuza ni:

Je, Huyu Mshauri wa Rais Sheria aliweza kutekeleza vizuri majukumu yake ya kumshauri Rais kwenye mambo ya kisheria?

Mshauri wa Rais Siasa - je, naye katika kipindi chote alichokuwa Ikulu aliweza kutekeleza majukumu yake ya kumshauri Rais kwenye mambo ya siasa?

Tatu, Mshauri ya Rais Mawasiliano na Habari - je, naye aliweza kumshauri vizuri Rais kwenye eneo la mawasiliano na habari?

Pia soma
Hakuna lolote ni kuwa huyu mama hajui anachokifanya, WANAWAKE WAIPEWE MADARAKA MAKUBWA, AMEWAANGUSHA WANAWAKE SANA
 
VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano.

Uamuzi huu mgumu huenda kuna jambo kubwa tusilolijua hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa 2025, lakini maswali ya kiujiuza ni:

Je, Huyu Mshauri wa Rais Sheria aliweza kutekeleza vizuri majukumu yake ya kumshauri Rais kwenye mambo ya kisheria?

Mshauri wa Rais Siasa - je, naye katika kipindi chote alichokuwa Ikulu aliweza kutekeleza majukumu yake ya kumshauri Rais kwenye mambo ya siasa?

Tatu, Mshauri ya Rais Mawasiliano na Habari - je, naye aliweza kumshauri vizuri Rais kwenye eneo la mawasiliano na habari?

Pia soma
Hakuna hata mmoja aliyefukuzwa

Sometimes wabongo Tuna kama kalaana ka kupenda watu wateseke

Na wasipoteseka tunatunga utesi
 
VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano.

Uamuzi huu mgumu huenda kuna jambo kubwa tusilolijua hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa 2025, lakini maswali ya kiujiuza ni:

Je, Huyu Mshauri wa Rais Sheria aliweza kutekeleza vizuri majukumu yake ya kumshauri Rais kwenye mambo ya kisheria?

Mshauri wa Rais Siasa - je, naye katika kipindi chote alichokuwa Ikulu aliweza kutekeleza majukumu yake ya kumshauri Rais kwenye mambo ya siasa?

Tatu, Mshauri ya Rais Mawasiliano na Habari - je, naye aliweza kumshauri vizuri Rais kwenye eneo la mawasiliano na habari?

Pia soma
Kumbuka tu, vetting za Ikulu ni endelevu.
 
Mshauri wa raisi rasilimali amebaki salama
Kamshauri vyema raisi atoe bahari na madini tupewe hela
 
Back
Top Bottom