MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kuna taarifa zisizo rasmi ambazo baadaye nahisi zitathibishwa na wahusika nimezinyaka kutoka pande za upinzani kwmba kuna maandalizi ya siri kuwapokulea vigogo 7 kutoka Chama utawala ambapo 4 ni wastaafu wa nyadhifa mbali mbali serikali na chama, 3 in viongozi hivi sasa kwenye taasisi za UVCCM na Jumuiya ya Wazee. Kufikia Januari mapokezi hayo yatakua yamekamilika.
Mnyetishaji wa hii stori anadai hawa viongozi wanaojipanga kuhamia upinzani kufikia Januari wanachofanya hivi sasa wanazungumza na kushauri namna ya upinzani kuunganisha nguvu na kua kitu kimoja kabla ya chaguzi za serikali za mitaa 2019 ambapo ndio utakua muda mzuri wa kuwaandaa wananchi kuwapigia kura 2020.
Hawa makada ni nguli wa siasa za fitina ndani ya CCM wanajipanga kuwashawishi wapinzani namna ya kusimama pamoja kukabiliana na adui yao 2020.
Hizi ni tetesi tu, tusubiri kutimia kwake. Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja.
Namwachia kazi ndugu Cyprian Musiba.