Tetesi: Vigogo 7 wakubwa kutoka CCM kujiunga na Upinzani kufikia Januari 2019

Kuna taarifa zisizo rasmi ambazo baadaye nahisi zitathibishwa na wahusika nimezinyaka kutoka pande za upinzani kwmba kuna maandalizi ya siri kuwapokulea vigogo 7 kutoka Chama utawala ambapo 4 ni wastaafu wa nyadhifa mbali mbali serikali na chama, 3 in viongozi hivi sasa kwenye taasisi za UVCCM na Jumuiya ya Wazee. Kufikia Januari mapokezi hayo yatakua yamekamilika.

Mnyetishaji wa hii stori anadai hawa viongozi wanaojipanga kuhamia upinzani kufikia Januari wanachofanya hivi sasa wanazungumza na kushauri namna ya upinzani kuunganisha nguvu na kua kitu kimoja kabla ya chaguzi za serikali za mitaa 2019 ambapo ndio utakua muda mzuri wa kuwaandaa wananchi kuwapigia kura 2020.

Hawa makada ni nguli wa siasa za fitina ndani ya CCM wanajipanga kuwashawishi wapinzani namna ya kusimama pamoja kukabiliana na adui yao 2020.

Hizi ni tetesi tu, tusubiri kutimia kwake. Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja.
Namwachia kazi ndugu Cyprian Musiba.
Chai
 
Eeeeeeh

Hivi upinzani hamnaga ya kuongea au kutenda kutusaidia kuendeleza nchi yetu hii iliyo tajiri sanaaaaa
Kwenye sera za porojo na kupinga kila kitu watapata wapi cha maana cha kuongea? Waambie wakutajie angalau kitu kimoja tangible wanachoweza kuwaonyesha wananchi kuwa wamefanya, ebu sikiliza muziki wake!
Sisi tusio na vyama tukiwaambia wamepoteza mwelekeo wanatuporomoshea mitusi mpaka basi.
 
Kuna taarifa zisizo rasmi ambazo baadaye nahisi zitathibishwa na wahusika nimezinyaka kutoka pande za upinzani kwmba kuna maandalizi ya siri kuwapokulea vigogo 7 kutoka Chama utawala ambapo 4 ni wastaafu wa nyadhifa mbali mbali serikali na chama, 3 in viongozi hivi sasa kwenye taasisi za UVCCM na Jumuiya ya Wazee. Kufikia Januari mapokezi hayo yatakua yamekamilika.

Mnyetishaji wa hii stori anadai hawa viongozi wanaojipanga kuhamia upinzani kufikia Januari wanachofanya hivi sasa wanazungumza na kushauri namna ya upinzani kuunganisha nguvu na kua kitu kimoja kabla ya chaguzi za serikali za mitaa 2019 ambapo ndio utakua muda mzuri wa kuwaandaa wananchi kuwapigia kura 2020.

Hawa makada ni nguli wa siasa za fitina ndani ya CCM wanajipanga kuwashawishi wapinzani namna ya kusimama pamoja kukabiliana na adui yao 2020.

Hizi ni tetesi tu, tusubiri kutimia kwake. Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja.
Namwachia kazi ndugu Cyprian Musiba.

Acheni kuwauzia wenzenu mbuzi kwenye gunia; hili wazo la kutegemea viongozi kutoka CCM kuja kuuokoa upinzani ni wazo hatari sana. Kama wanakuja waje tu kuunga mkono lakini wasije kutegemewa kuja kuupa uongozi upinzani..
 
Kuna taarifa zisizo rasmi ambazo baadaye nahisi zitathibishwa na wahusika nimezinyaka kutoka pande za upinzani kwmba kuna maandalizi ya siri kuwapokulea vigogo 7 kutoka Chama utawala ambapo 4 ni wastaafu wa nyadhifa mbali mbali serikali na chama, 3 in viongozi hivi sasa kwenye taasisi za UVCCM na Jumuiya ya Wazee. Kufikia Januari mapokezi hayo yatakua yamekamilika.

Mnyetishaji wa hii stori anadai hawa viongozi wanaojipanga kuhamia upinzani kufikia Januari wanachofanya hivi sasa wanazungumza na kushauri namna ya upinzani kuunganisha nguvu na kua kitu kimoja kabla ya chaguzi za serikali za mitaa 2019 ambapo ndio utakua muda mzuri wa kuwaandaa wananchi kuwapigia kura 2020.

Hawa makada ni nguli wa siasa za fitina ndani ya CCM wanajipanga kuwashawishi wapinzani namna ya kusimama pamoja kukabiliana na adui yao 2020.

Hizi ni tetesi tu, tusubiri kutimia kwake. Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja.
Namwachia kazi ndugu Cyprian Musiba.

Wataitwa, "madume, wakombozi, majemedari, wapambanaji, watakatifu nk. " Wakitoka huko kuja kijani wataitwa, "wasaka tonge, njaa zinawasumbua, wamennuliwa, wanataka uDC"
 
Duh?
Kama alihama Lowasa na bado CCM ikashinda sijui kama kuna kigogo mwingine wa saizi ya Edo aliyeko CCM kwa sasa!
Waliobaki wote ni wa kawaida sana!
Wanaweza washangae Edo anapiga reverse kujakuunga mkono juhudi na kuwaacha kisolemba huko ugenini !
 
Kuna taarifa zisizo rasmi ambazo baadaye nahisi zitathibishwa na wahusika nimezinyaka kutoka pande za upinzani kwmba kuna maandalizi ya siri kuwapokulea vigogo 7 kutoka Chama utawala ambapo 4 ni wastaafu wa nyadhifa mbali mbali serikali na chama, 3 in viongozi hivi sasa kwenye taasisi za UVCCM na Jumuiya ya Wazee. Kufikia Januari mapokezi hayo yatakua yamekamilika.

Mnyetishaji wa hii stori anadai hawa viongozi wanaojipanga kuhamia upinzani kufikia Januari wanachofanya hivi sasa wanazungumza na kushauri namna ya upinzani kuunganisha nguvu na kua kitu kimoja kabla ya chaguzi za serikali za mitaa 2019 ambapo ndio utakua muda mzuri wa kuwaandaa wananchi kuwapigia kura 2020.

Hawa makada ni nguli wa siasa za fitina ndani ya CCM wanajipanga kuwashawishi wapinzani namna ya kusimama pamoja kukabiliana na adui yao 2020.

Hizi ni tetesi tu, tusubiri kutimia kwake. Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja.
Namwachia kazi ndugu Cyprian Musiba.
Hamna kitu kama hicho.Kwanini wasianzishe chama chao.2020 CCM inashinda tena!
 
Mnachekesha sana ... hahahha...lowasa aliwatoa jasho mkaiba na kura ..Leo Membe anawachachafya had sasa humo ndani mnajamba jamba ovyo na mnatafuta wajambaji kumbe ni nyie wenyewe
Mtabaki kutukana tuu!
 
Bila kuwa na Tume Huru hayo ya vigogo hayasaidii kitu....hata wakihama wote vigogo na vigoda ili.mradi tume ndio ile ile basi sahau.
 
Duh?
Kama alihama Lowasa na bado CCM ikashinda sijui kama kuna kigogo mwingine wa saizi ya Edo aliyeko CCM kwa sasa!
Waliobaki wote ni wa kawaida sana!

ukisikia maandazi ni wewe.toka lini ccm wameshinda uchaguzi?
 
Hicho ndio kitu ambacho kinaua upinzani kabisa amekuja lowasa na sumae hao wote ni mawaziri wakuu wastafu mbona upinzani unazidi kuporomoka
 
wakija wasipewe nafasi zozote za uongozi, siyo wa kuwamini hawa mafisi
 
Duh?
Kama alihama Lowasa na bado CCM ikashinda sijui kama kuna kigogo mwingine wa saizi ya Edo aliyeko CCM kwa sasa!
Waliobaki wote ni wa kawaida sana!
Ilishinda au ilishindishwa?
 
Back
Top Bottom