Sasa naanza kuona mwanga kwanini Mo Dewji alikuwa ana wekewa zengwe, Watu walisha pakua mzigo(fedha za Okwi na Samata) wakajua mabadiliko yataleta makabidhiano ya ofisi na pengine ukaguzi wa akaunti ambazo kumbe tayari wanaume walisha ziswafi kiasi cha kukosa hata Fedha za usajili ika onekana ili kukwepa kuumbuka ni lazima kumzuia mwekezaji asiingie ila nina shaka lililo bainisha haya ni pale TRA walipo taka kodi yao kutokana na hayo mapato Dah!Hatari sana na hawa ndio wanao itwa Marafiki wa Simba.