Vigogo wa CHADEMA wahudhuria Uzinduzi wa Profesa J Foundation

Vigogo wa CHADEMA wahudhuria Uzinduzi wa Profesa J Foundation

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Uzinduzi wa Taasisi hiyo ya kusaidia wenye magonjwa ya figo inazinduliwa kwenye ukumbi wa Mlimani City , DSM , ambako watu wengi maarufu na wenye Ushawishi wamealikwa.

Vigogo wa Chadema ni miongoni mwa watu wazito wa Nchi hii walioonekana Ukumbini humo

Screenshot_2023-12-10-21-48-15-1.png

UPDATES
=======

Michango yao si haba , Alhamdulillah .

Screenshot_2023-12-11-13-43-29-1.png
 
Uzinduzi wa Taasisi hiyo ya kusaidia wenye magonjwa ya figo inazinduliwa , ambako watu wengi maarufu na wenye Ushawishi wamealikwa .

Vigogo wa Chadema ni miongoni mwa watu wazito wa Nchi hii walioonekana Ukumbini humo

View attachment 2838983
Ndio vyema Allah amjaliye wamitulinga na taasisi yake,wakimbizi nao ndani ya nyumba!
 
Uzinduzi wa Taasisi hiyo ya kusaidia wenye magonjwa ya figo inazinduliwa , ambako watu wengi maarufu na wenye Ushawishi wamealikwa.

Vigogo wa Chadema ni miongoni mwa watu wazito wa Nchi hii walioonekana Ukumbini humo

View attachment 2838983
Nimeona twita (x) umesahau kuzima akaunti ukapost picha kwenye akaunti yako feki 😂😂😁. Vijana wanasema umepaisha penati.
 
Mbona siwaoni watu wazito hapo? Au picha yao bado hujaweka ya hao watu wazito?
Wewe mpaka uone wenye matumbo makubwa ndiyo unajua ni wazito?

Mtu mzito ni yeyote ambaye mchango katika ustawi wa jamii unaonekana na kutambulika. Huyo Prof. Jay ni mzito hasa. Maana kama ameanzisha Foundation ya kuokoa maisha ya watu, akifanikiwa, huyo ni mzito pia.
 
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom