VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA) wahukumiwa kifungo

VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA) wahukumiwa kifungo

mayawi

Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
43
Reaction score
12
VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard Maliyaga walioruhusu ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu wamehukumiwa kwenda jela miaka 9 kila mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni 15 kila mmoja na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar!

Chanzo: Globalpublishers

Hii ni haki kweli? Inawezekanaje hawa kuwa na maamuzi makubwa na ya risky namna hiyo? Mh!!!!!!
 
Hii inanikumbusha kondoo wa kafara.
Dhambi wafanye wengine kufa wafe wengine wasio na hatia

TANZANIA NCHI YANGU
 
Hiyo 15m ni tone la maji tu out of what they earned , nadhani kifungo jela ndo ingekuwa fundisho
 
Kwa nini Liyumba hakupewa option ya kulipa faini? Haki iko wapi mahakama?
 
Itakapokuja sheria ya kupigwa risasi hadharani ndio nchi hii watu wataacha kutumia vibaya madaraka yao wakiwemo majaji, hivi baada ya miaka 9 jengo hilo halitakuwa na madhara ya kuchungulia Ikulu? Au tunawaumiza lkn wenye jengo wanabaki? Basi liwe la Ikulu hilo jengo!
 
Kwa kuwa mahakama imehukumu kuwa jengo limejengwa kimakosa, basi ni fursa nyingine kwa wanaharakati kwenda kukazia hukumu au kufungua kesi mpya ya kutaka jengo livunjwe.

Ama sivyo madirisha na milango yote yanayochungulia Ikulu izibwe.

Vinginevyo linunuliwe na Ikulu na plot na barabara zoe hapo ziunganishwe na za Ikulu.

Ukisoma Novel ya F.F "The DoJ" utaona risk yake

Candid to my country
 
huyu hakimu huyu ana matatizo sana..hukumu zake ni za kipuuzi sana huyu...hii nihukumu ya pili anaitoa ya kipumbafu..inaanza ile ya kajala then hii
 
umeuliza swali la maana sana! je mpaka jengo hilo linasimama kufika kule liliko watu walikuwa hawana macho! hii ni sanaa tu!
 
Kuna vigogo wa tba wamehukumiwa kwwnda jela miaka 9 au kulipa faini milioni kumi na tano kwa kosa la kuidhinisha jengo linalochungulia ikulu, je? 1)Mahakama kutoa adhabu hiyo ndiyo kwamba ikulu itakuwa salama kwa sasa?
2) kama tatizo la usalama wa ikulu ni jengo, na jengo bado lipo, si tatizo bado lipo palepale? Anaejua zaidi hili alieleweshe.
 
R.I.P Mwalimu Nyerere najua ulikaa Ikulu Miaka 24 uzembe kama huu na imani waziri husika angekula viboko ,mwenye jengo viboko ,hakimu viboko na Jengo kubomolewa mara moja,kweli tumekwisha na tayari wamehalalisha uwepo wa jengo karibu na Ikulu wakati White House hata ndege hairuhusiwi kuruka juu yake Watanzania tubadilike Ikulu ni Mahali patakatifu sasa mbona mnataka kuchafua heshima yake!
 
huyu hakimu huyu ana matatizo sana..hukumu zake ni za kipuuzi sana huyu...hii nihukumu ya pili anaitoa ya kipumbafu..inaanza ile ya kajala then hii

Kwetu ni nchi pekee ambapo mahakimu wanaandika hukumu zenye matokeo ya sare kama mechi ya kabumbu
 
Kwa kuwa mahakama imehukumu kuwa jengo limejengwa kimakosa, basi ni fursa nyingine kwa wanaharakati kwenda kukazia hukumu au kufungua kesi mpya ya kutaka jengo livunjwe.

Ama sivyo madirisha na milango yote yanayochungulia Ikulu izibwe.

Vinginevyo linunuliwe na Ikulu na plot na barabara zoe hapo ziunganishwe na za Ikulu.

Ukisoma Novel ya F.F "The DoJ" utaona risk yake

Candid to my country

ushauri wa bure tu hilo gorofa upande wa juu wote wachukue family ya wana usalama wa taifa
 
R.I.P Mwalimu Nyerere najua ulikaa Ikulu Miaka 24 uzembe kama huu na imani waziri husika angekula viboko ,mwenye jengo viboko ,hakimu viboko na Jengo kubomolewa mara moja,kweli tumekwisha na tayari wamehalalisha uwepo wa jengo karibu na Ikulu wakati White House hata ndege hairuhusiwi kuruka juu yake Watanzania tubadilike Ikulu ni Mahali patakatifu sasa mbona mnataka kuchafua heshima yake!

Agetowa wp pesa za kujengea wakati huo hata pesa za mkate wtz walikuwa hawana.na ingetokea akawa nazo na mmiliki angekuwa mkiristo asingeweza kupata hizo adhabu ulizo sema angeobewa kama alivyo ombewa yule mgiriki na baba askofu
 
kwa aina ya viongozi hao tulio nao wanaoidhinisha posho za lak 7 kwa siku,Kwa mtindo huu ipo siku ikulu itakuja kuhamishwa na kujengwa nnje ya jiji,kupisha wawekezaji.Inamaana jengo hili lilijengwa huko china na mlipoamka asubuh mkalikuta lipo hapo.ACHENI SINEMA ZENU BWANA,JAJI UNGETANGAZA HAO VIGOGO WAMESHINDA TU KESI,Wananchi tungetulia tu na kungoja picha jipya.
 
Back
Top Bottom