Itakapokuja sheria ya kupigwa risasi hadharani ndio nchi hii watu wataacha kutumia vibaya madaraka yao wakiwemo majaji, hivi baada ya miaka 9 jengo hilo halitakuwa na madhara ya kuchungulia Ikulu? Au tunawaumiza lkn wenye jengo wanabaki? Basi liwe la Ikulu hilo jengo!
huyu hakimu huyu ana matatizo sana..hukumu zake ni za kipuuzi sana huyu...hii nihukumu ya pili anaitoa ya kipumbafu..inaanza ile ya kajala then hii
Kwa kuwa mahakama imehukumu kuwa jengo limejengwa kimakosa, basi ni fursa nyingine kwa wanaharakati kwenda kukazia hukumu au kufungua kesi mpya ya kutaka jengo livunjwe.
Ama sivyo madirisha na milango yote yanayochungulia Ikulu izibwe.
Vinginevyo linunuliwe na Ikulu na plot na barabara zoe hapo ziunganishwe na za Ikulu.
Ukisoma Novel ya F.F "The DoJ" utaona risk yake
Candid to my country
R.I.P Mwalimu Nyerere najua ulikaa Ikulu Miaka 24 uzembe kama huu na imani waziri husika angekula viboko ,mwenye jengo viboko ,hakimu viboko na Jengo kubomolewa mara moja,kweli tumekwisha na tayari wamehalalisha uwepo wa jengo karibu na Ikulu wakati White House hata ndege hairuhusiwi kuruka juu yake Watanzania tubadilike Ikulu ni Mahali patakatifu sasa mbona mnataka kuchafua heshima yake!