Vigogo waliopo nyuma ya Mawakili waliofungua kesi kupinga mkataba wa bandari mkoani Mbeya

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
C&P,
From;-
#Kigogo! a.k.a mzushi.

Taarifa za kuaminika kutoka chanzo chetu ndani ya mahakama kuu ni kuwa kesi ya ubabaishaji iliyofunguliwa na kundi la mawakili wakiongozwa na Boniface Mwabukusi inayotegemewa kutolewa hukumu hivi karibuni IMEFYEKELEWA MBALI kwa kukosa vigezo na hoja zake hazijakidhi vigezo vya kuwa kesi ya kikatiba na kuonekana haina mashiko na ni usumbufu na kupotezea mida mahakama tukufu.

Kesi hiyo iliyofadhiliwa na kundi la watu wanaopinga uwekezaji bandarini wakiwemo GSM na Al Hushoom na kutoa kiasi cha 400m TZS ili kufunguliwa kwa kesi hii , imepata kipigo hicho baada ya hoja zao zote kutupwa kufuatia umahiri wa timu ya upande wa serikali ukiongozwa na mwendesha mashtaka mahiri wa serikali msomi Edson Mweyungee kuzifafanya na kuzijibu kwa ustadi mkubwa sana.

Kutupiliwa mbali kwa kesi hiyo kunadhihirisha uovu wa kikundi kidogo cha watu hasa wamiliki wa ICDs ambao kwa hila wanataka mchakato wa uwekezaji bandarini uvurugike ili waendelee kulinyonya hili taifa na kunufaika wao kupitia kampuni yao na mshirika wao TICTS

Ikumbukwe kuwa TICTS na Karamagi wameendesha bandari ya Dar Es Salaam kwa miaka 27 bila mafanikio ya maana kwa taifa na watanzania hii ikijumuisha kuingia mkataba wa hovyo uliogubikwa na rushwa wa miaka 15 ambao bunge liliazimia ufutwe mwaka 2008 lakini kwa kuwa rushwa ilitawala waliachwa mpaka sasa mkataba wao ulipoisha na kupewa mkono wa kwaheri jambo ambalo bado hawataki kuondoka na wameamua kufadhili vurugu.

Tunasubiri uamuzi wa mahakama kwa hamu sana ili tusonge mbele na uwekezaji wenye tija na faida kwa watanzania ufanyike na siyo kikundi cha wachache kama ilivyokuwa kwa miaka hiyo 27.
N.B,IKUMBUKWE HUKUMU YA SHAURI HILI LILIHAIRISHWA.
 
C&P,
From;-
#Kigogo! a.k.a mzushi.

Taarifa za kuaminika kutoka chanzo chetu ndani ya mahakama kuu ni kuwa kesi ya ubabaishaji iliyofunguliwa na kundi la mawakili wakiongozwa na Boniface Mwambukusi inayotegemewa kutolewa hukumu hivi karibuni IMEFYEKELEWA MBALI kwa a kwa miaka hiyo 27.
N.B,IKUMBUKWE HUKUMU YA SHAURI HILI LILIHAIRISHWA.
That is what is expected. Waliifungua kuweka ushahidi wa stupi mahakama zetu
 
C&P,
From;-
#Kigogo! a.k.a mzushi.

Taarifa za kuaminika kutoka chanzo chetu ndani ya mahakama kuu ni kuwa kesi ya ubabaishaji iliyofunguliwa na kundi la mawakili wakiongozwa na Boniface Mwambukusi inayotegemewa kutolewa hukumu hivi karibuni IMEFYEKELEWA MBALI kwa kukosa vigezo na hoja zake hazijakidhi vigezo vya kuwa kesi ya kikatiba na kuonekana haina mashiko na ni usumbufu na kupotezea mida mahakama tukufu.

Kesi hiyo iliyofadhiliwa na kundi la watu wanaopinga uwekezaji bandarini wakiwemo GSM na Al Hushoom na kutoa kiasi cha 400m TZS ili kufunguliwa kwa kesi hii , imepata kipigo hicho baada ya hoja zao zote kutupwa kufuatia umahiri wa timu ya upande wa serikali ukiongozwa na mwendesha mashtaka mahiri wa serikali msomi Edson Mweyungee kuzifafanya na kuzijibu kwa ustadi mkubwa sana.

Kutupiliwa mbali kwa kesi hiyo kunadhihirisha uovu wa kikundi kidogo cha watu hasa wamiliki wa ICDs ambao kwa hila wanataka mchakato wa uwekezaji bandarini uvurugike ili waendelee kulinyonya hili taifa na kunufaika wao kupitia kampuni yao na mshirika wao TICTS

Ikumbukwe kuwa TICTS na Karamagi wameendesha bandari ya Dar Es Salaam kwa miaka 27 bila mafanikio ya maana kwa taifa na watanzania hii ikijumuisha kuingia mkataba wa hovyo uliogubikwa na rushwa wa miaka 15 ambao bunge liliazimia ufutwe mwaka 2008 lakini kwa kuwa rushwa ilitawala waliachwa mpaka sasa mkataba wao ulipoisha na kupewa mkono wa kwaheri jambo ambalo bado hawataki kuondoka na wameamua kufadhili vurugu.

Tunasubiri uamuzi wa mahakama kwa hamu sana ili tusonge mbele na uwekezaji wenye tija na faida kwa watanzania ufanyike na siyo kikundi cha wachache kama ilivyokuwa kwa miaka hiyo 27.
N.B,IKUMBUKWE HUKUMU YA SHAURI HILI LILIHAIRISHWA.
Naona ni taka taka kama taka zingine tu.
Hivi serikali imeishawahi shinda kesi?
 
What a junk of rubbish..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika wazazi wangejua mtoto watakayemzaa atakuwa na upeo na mawazo kama hayo aidha wangevaa kondomu , wangemwaga nje au wasingekutana siku hiyo. Tusiache kuomba na kupiga dua wakati tunafanya tendo la ndoa au kujamiiana!!
😆😆😆 Wewe pia ungemwagwa nje ungefurahi?
 
TICTS tulijua mwisho wa mkataba wake hao wapya mwisho lini?
HAKUNA joint venture inayotaraji mwisho mbaya,Bali mwisho mbaya husababishwa na Janja janja aidha kukiuka taratibu mnazokuwa mmejiwekea,kama miiko ya makubaliano yenu,miiko,itakapokiukwa "termination" huwa haina mjadala!,
Na ndiyo huwa sababu ya msingi ya kuvunja mkataba husika kwa magomvi.
 
Kesi hiyo iliyofadhiliwa na kundi la watu wanaopinga uwekezaji bandarini wakiwemo GSM na Al Hushoom na kutoa kiasi cha 400m TZS ili kufunguliwa kwa kesi hii , imepata kipigo hicho baada ya hoja zao zote kutupwa kufuatia umahiri wa timu ya upande wa serikali ukiongozwa na mwendesha mashtaka mahiri wa serikali msomi Edson Mweyungee kuzifafanya na kuzijibu kwa ustadi mkubwa sana.
Hii mmeitoa kabla ya wakati, mngesubiri hukumu itoke kwanza ndio mlete hili andiko
 
Bila shaka siku hiyo Mheshimiwa naye atakuwa mahakamani, si yuko huko mbeya ?
Ninachoona hukumu itafuta shtaka kwamba halina mashiko.

Waheshimiwa jipangeni kwenda mahakama ya rufaa.

Nchi bado ina wananchi, bado wapo wafia nchi
 
Anarudi kabla ya hukumu
 
HAKUNA joint venture inayotaraji mwisho mbaya,Bali mwisho mbaya husababishwa na Janja janja aidha kukiuka taratibu mnazokuwa mmejiwekea,kama miiko ya makubaliano yenu,miiko,itakapokiukwa "termination" huwa haina mjadala!,
Na ndiyo huwa sababu ya msingi ya kuvunja mkataba husika kwa magomvi.
Siyo Joint venture tuu, Partnership,Company zoote zionyeshe muda wa kuishi mkuu.
 
C&P,
From;-
#Kigogo! a.k.a mzushi.

Taarifa za kuaminika kutoka chanzo chetu ndani ya mahakama kuu ni kuwa kesi ya ubabaishaji iliyofunguliwa na kundi la mawakili wakiongozwa na Boniface Mwabukusi inayotegemewa kutolewa hukumu hivi karibuni IMEFYEKELEWA MBALI kwa kukosa vigezo na hoja zake hazijakidhi vigezo vya kuwa kesi ya kikatiba na kuonekana haina mashiko na ni usumbufu na kupotezea mida mahakama tukufu.

Kesi hiyo iliyofadhiliwa na kundi la watu wanaopinga uwekezaji bandarini wakiwemo GSM na Al Hushoom na kutoa kiasi cha 400m TZS ili kufunguliwa kwa kesi hii , imepata kipigo hicho baada ya hoja zao zote kutupwa kufuatia umahiri wa timu ya upande wa serikali ukiongozwa na mwendesha mashtaka mahiri wa serikali msomi Edson Mweyungee kuzifafanya na kuzijibu kwa ustadi mkubwa sana.

Kutupiliwa mbali kwa kesi hiyo kunadhihirisha uovu wa kikundi kidogo cha watu hasa wamiliki wa ICDs ambao kwa hila wanataka mchakato wa uwekezaji bandarini uvurugike ili waendelee kulinyonya hili taifa na kunufaika wao kupitia kampuni yao na mshirika wao TICTS

Ikumbukwe kuwa TICTS na Karamagi wameendesha bandari ya Dar Es Salaam kwa miaka 27 bila mafanikio ya maana kwa taifa na watanzania hii ikijumuisha kuingia mkataba wa hovyo uliogubikwa na rushwa wa miaka 15 ambao bunge liliazimia ufutwe mwaka 2008 lakini kwa kuwa rushwa ilitawala waliachwa mpaka sasa mkataba wao ulipoisha na kupewa mkono wa kwaheri jambo ambalo bado hawataki kuondoka na wameamua kufadhili vurugu.

Tunasubiri uamuzi wa mahakama kwa hamu sana ili tusonge mbele na uwekezaji wenye tija na faida kwa watanzania ufanyike na siyo kikundi cha wachache kama ilivyokuwa kwa miaka hiyo 27.
N.B,IKUMBUKWE HUKUMU YA SHAURI HILI LILIHAIRISHWA.
Huo Umahiri uko kwenye Mahakama za ndani tu? Mbona sioni umahiri huko duniani? Kila siku tunadundwa tu.
 
Back
Top Bottom