Vigogo waliopo nyuma ya Mawakili waliofungua kesi kupinga mkataba wa bandari mkoani Mbeya

Wapo watu wameiweka mifukoni bandari yetu !,
Ugoigoi hunufaisha giant traders,
Ikiendeshwa kwa ufanisi,upo uwezekano Icds zisihitajike tena,which is big loss to giants!
Tafiti zinaonyesha kwenye icd,ndipo mipango mingi ya ukwepaji kodi hufanyika!
Kweli, ndiyo huwa nasema kiongozi mmoja huwezi pambana na ma- giant wa nchi hii, lazima utaomba poo ref (Magu).
 
Serikali ina timu mahiri ya wanasheria au mimi ndio sijaelewa?..hahahahaha...
 
Ukimsoma hivi sasa ndiyo unaelewa jinsi watanzania walivyokua mazumbukuku kipindi kile, kwa kumuamini kwa kila alichokua akiwalisha na kuwanywesha.
Tundu Lissu ndiye Mtanzania aliyefanikiwa kumsambaratisha huyu jamaa na kupelekea aonekane mwepesi na Mzushi. Martin Maranja Masese akammalizia. Nikashangaa Kigogo anaanza kubembeleza urafiki na akina Sufiani😃
 
Hivi Tatizo ni Mwekezaji au Mkataba??
 
Sasa wewe lete source za habari zako zisizo aminika!
 
Wewe umesema kwamba mahakama imetupilia mbali shauri Hilo alipaswi kuwa shauri la kikatiba inamana majibu yameshatoka lakini mwisho unakuja kujikataa Tena eti tusubiri maamuzi ya mahakama hivi unajielewa kwelii
 
Inasemekana pia kuwa majaji wote watatu wanaosikiliza kesi hii wameitwa asubuhi ya leo ikulu ndogo ya kanda ya Mbeya kuonana na mh rais
 
Acha uzushi kwani hawa ndio waliosaini ule mkataba mbovu??
 
Kabla ya kuposti kitu washa data kichwani mwako kwanza.
 
WAPUMBAVU CHEZEENI NCI TU KAMA YENU SIKU INAKUJA HATUTAJALI KAMA KUNA MIKATABA....HAO WAPUMBAVU WENU WAWEKE MELI YA DHARURA YA KUKIMBIA NCHI SIKU NJITI IKIWASHWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…