Sawa kabisa,waswahili wana msemo wao "mtegemea cha ndugu hufa masikini". Walikuwa wanategemea hospitali za nje ya nchi leo hakuendeki mwisho wa siku tarehe za kukutana na madakitari wao bingwa (kiliniki) wanaowaamini zimefika inabidi watibiwe hapa nchini kusikoaminika kuanzia hospitali,vifaa,madakitari na hata wauguzi.You nail it Mkuu ,hawaboreshi Hospital zetu kwa Sababu hawatibiwi hapa.Hawa boreshi Elimu kwa Sababu hawa someshi Watoto wao humu.Sasa hii kitu imekuja kwa njia nyingine kuwa kumbusha hawa miungu Watu.
Hili ni funzo na kama viongozi wetu hawatajifunza kupitia janga hili kwa kuimarisha mfumo wa elimu na afya kupitia bajeti basi jua hatuna viongozi bali ni waganga njaa wanaokuja kwa sura ya uongozi ili wajinufaishe
Sent using Jamii Forums mobile app