Vigogo wengi walikuwa na Clinic zao za magonjwa sugu nchi za nje mipaka imefungwa hawana pa kukimbilia tena ndio maana wanateketea

You nail it Mkuu ,hawaboreshi Hospital zetu kwa Sababu hawatibiwi hapa.Hawa boreshi Elimu kwa Sababu hawa someshi Watoto wao humu.Sasa hii kitu imekuja kwa njia nyingine kuwa kumbusha hawa miungu Watu.
Sawa kabisa,waswahili wana msemo wao "mtegemea cha ndugu hufa masikini". Walikuwa wanategemea hospitali za nje ya nchi leo hakuendeki mwisho wa siku tarehe za kukutana na madakitari wao bingwa (kiliniki) wanaowaamini zimefika inabidi watibiwe hapa nchini kusikoaminika kuanzia hospitali,vifaa,madakitari na hata wauguzi.
Hili ni funzo na kama viongozi wetu hawatajifunza kupitia janga hili kwa kuimarisha mfumo wa elimu na afya kupitia bajeti basi jua hatuna viongozi bali ni waganga njaa wanaokuja kwa sura ya uongozi ili wajinufaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nasikitika mtu unapoongea kitu serious unatukanwa jamaa ww umeniuzi sn hata kama umesoma umekariri haujui kabisa physiology, pharmacology, hata diseases management haujui umekariri na kama na ww ni daktari basi nina uhakika umeshaua wengi sana kwa kutokujua au kuifunga akili yako
 
Mipaka imefungwa wanafariki. Walishazoea matibabu ghali na makini nje. Sasa hakuna..wanapuputika. Anyway, Mola awarehemu waja wake.
 
Sio tu hawakuwaamini wataalam....
kitu kikubwa unajua taarifa za mgonjwa ni siri
kwa mujibu wa ethics/maadili yao....
lkn bongo baadhi ya taarifa za wagonjwa huvujishwa
ndio maana watu wenyenazo wanaona bora waende mbali huko...
 
Asante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You nail it Mkuu ,hawaboreshi Hospital zetu kwa Sababu hawatibiwi hapa.Hawa boreshi Elimu kwa Sababu hawa someshi Watoto wao humu.Sasa hii kitu imekuja kwa njia nyingine kuwa kumbusha hawa miungu Watu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani wengi wanakufa sababu wengi walikuwa wakienda India kwa matibabu kwa maelfu hadi kukaanzishwa kitu kinaitwa medical tourism mmarekani akiomba visa kuingia India alikuwa akijaza reason for travel medical toursism wengi walikuwa na private doctors na clinics India lockdown inawamaliza sababu maelfu hawezi access good cheap health facility za India wanazoweza afford tofauti na expensive za marekani

Wamatekani wengi wana bima za afya za India ambazo kwao no cheap aliumwa tu apanda ndege mbio India sasa safari hata za ndege Hanna wengi watakufa marekani lockdown itaua wengi
 
Namuhurumia sana Ndu gay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…