Vigogo zaidi wa BOT watinga kortini

Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2007
Posts
2,802
Reaction score
614
KUna taarifa rasmi kwamba kuna mtumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kuanzia sasa. Taarifa zaidi baadaye.
 
Hayo mashitaka wameyatengeneza vizuri lakini? Tusije tukajikuta mtu anaachiwa kisa mashitaka hayajitoshelezi kumtia hatiani.
 
Hivi Kweka ndiyo kashasamehewa kabisa au inakuwaje? Au alikuwa anamsindikiza tu Liyumba?
 
Hajajulikana? Na mashitaka yameandaliwa vizuri? Mchezo wa kuigiza uishe jamani.
 
Kesi inayokwenda mahakamani inahusu noti.
 
Kwi kwii kwiiiiii, yale yale na kwa taarifa yenu kweka haruhusiwi kuonekana kwenye mkusanyiko wowote mf.kanisani which means analindwa na sirikali hii tuijuayo.
 
Hizi kesi za BOT kwa nn zinabagua ina maana katibu mkuu na waziri wa fedha hawahusika kwa namna yeyote ile?
 
Hizi ni siasa za kulindana ambazo kwakweli hata kuwapeleka mahakamani inakuwa kama sanaa tu.Sisi tumechoka na sanaa bwana,hebu sirikali ijaribu kuwa serious this time.
 
Hizi kesi za BOT kwa nn zinabagua ina maana katibu mkuu na waziri wa fedha hawahusika kwa namna yeyote ile?
Kesi Zote ni danganya toto maana unaweza kusema kuwa inakuwa kama ni Kampeni za kwa ajili ya uchaguzi mwakani ili tusema kuwa wamefikishwa mahakamani. ukiona kuwa mfum wa benki kuu kuna kila aina kwamba watu wengi walishiriki vitendo vya ufisadi benki kuu, kuanzia waziri, katibu, kwa maamuzi
 
Kitakachotuboa ni pale kesi itakapoanza kupigwa danadana kwa kisingizio eti upelelezi haujakamilika.

Ni bora wakamilishe upelelezi kwanza ili kesi ikianza ni mtiririko wa moja kwa moja, au wadau mnasemaje? Au ni vema waonje rumande kidogo?
 
na kabla ya machi 2010 usishangae kuona kubwa lao a.k.a. kagoda
likikamatwa na keshi kuendelea kutajwa mpaka baada ya uchaguzi.
 
Kwi kwii kwiiiiii, yale yale na kwa taarifa yenu kweka haruhusiwi kuonekana kwenye mkusanyiko wowote mf.kanisani which means analindwa na sirikali hii tuijuayo.

Siyo kweli! mbona juzi juzi tulikuwa naye kwenye msiba hapo kinondoni Brock 41? au huo siyo mkusanyiko!
 
na kabla ya machi 2010 usishangae kuona kubwa lao a.k.a. kagoda
likikamatwa na keshi kuendelea kutajwa mpaka baada ya uchaguzi.
kabisa aisee, changa la macho hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…