Baada ya watu kuongelea saana kuhusu Kihehere1, 2 and 3 naona kampeni zao zime poa? kulikoni? wamekataa tamaa au nimi mimi kukosa mawasiliano nao/magazeti/redio au wanajadiliana kwanza. hatua za kuchakachua?
Mkuu asante Kwa jina jipya! Hahahaaaaa.
Baada ya zomea zomea na kuandamwa n vyombo vya habari, naona Wamerudi Kwa ajili ya kurenew security kutoka Kwa shehe nanihii.