Vihiga: Kijana wa miaka 14 afariki wakati anawafundisha wenzie namna ya kujitia kitanzi

Kwa hiyo hao wenzake wakawa wanamuangalia tu mwenzao anakata roho.
Wakati anakukuruka, wenzake walidhani ni sehemu ya maelekezo, hivyo wakaendelea kuangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nawakubali sana Wakenya.

Hawa jamaa hawapendi kabisa longo longo, yaani kwao ni full vitendo!!! Nasikia hata wakienda kununua sumu, watakuambia "huwezi niuzia vitu fake mimi, na-prove aje kwamba inaeza kill"! Hapo muuza sumu lazima aonje kukuthibitishia!!
 
Wakati anakukuruka, wenzake walidhani ni sehemu ya maelekezo, hivyo wakaendelea kuangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani
 
Kumbe Wakenya kutokuwa na akili ni asili yao toka tumboni
 
Mko na vidio tuone?
 
huo ndo mfano dhahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…