Vihoja vya mitihani ya Shule ya msingi.

Vihoja vya mitihani ya Shule ya msingi.

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Nakumbuka mtihani wa darasa la saba unaanzaga kama masikhara hivi!

19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
halafu huko mbele sasa kuanzia swali la sita na saba hivi, utajutaa:

Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato. Land cruiser VX linatoka Chato saa nne kwenda Dar.

Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya land cruiser VX ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, zitakutana saa ngapi?

Doh
Hapo Sasa mi ntajuaje?!
Na hizi tochi zote barabarani na matuta! kuchimba dawa, kunywa chai ?!? [emoji2][emoji2]nilikuwa Siweki jibu lolote nakusanya tu!
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Ulikuwa muhanga nini mkuu
 
Ulikuwa muhanga nini mkuu
Hapa kila mtu ni muhanga yaani usiulize, kuna swali moja niliwahi kuulizwa [emoji13] [emoji13] swali liko hv. "Kwanini ndege kutoka Dar kwenda Mwanza inatumia masaa ma3 lakini kutoka Mwanza kwenda Dar inatumia masaa manne" mi nikajibu "Kutoka Dar kwenda mikoani hakuna foleni lakini kutoka mikoani kuingia Dar kuna foleni, mfano mzuri pale Ubungo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Tehteh Hapo ulitisha mkuu
 
teh ndege inatumia lami? au huko angani kuna foleni pia.
 
Nakumbuka mtihani wa darasa la saba unaanzaga kama masikhara hivi!

19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
halafu huko mbele sasa kuanzia swali la sita na saba hivi, utajutaa:

Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato. Land cruiser VX linatoka Chato saa nne kwenda Dar.

Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya land cruiser VX ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, zitakutana saa ngapi?

Doh
Hapo Sasa mi ntajuaje?!
Na hizi tochi zote barabarani na matuta! kuchimba dawa, kunywa chai ?!? [emoji2][emoji2]nilikuwa Siweki jibu lolote nakusanya tu!
Ulifauluje std VII kama ulikusanya tu? Au miundombinu ilitumika?
 
teh ndege inatumia lami? au huko angani kuna foleni pia.
Kama hujanielewa huwezi kunielewa, [emoji13] [emoji13] nimeulizwa ndege mi nimejibu kwa barabara, maana yake, nimeulizwa swali gumu na mimi nimetoa jibu gumu.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hapa kila mtu ni muhanga yaani usiulize, kuna swali moja niliwahi kuulizwa [emoji13] [emoji13] swali liko hv. "Kwanini ndege kutoka Dar kwenda Mwanza inatumia masaa ma3 lakini kutoka Mwanza kwenda Dar inatumia masaa manne" mi nikajibu "Kutoka Dar kwenda mikoani hakuna foleni lakini kutoka mikoani kuingia Dar kuna foleni, mfano mzuri pale Ubungo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
dah!! kazi ipo
 
Kwenye hesabu na English. Nilikuwa natafuta answer sheet mpya najaza majibu sahihi nampa rafiki yangu Abdu abas anisahihishie.
Nimpelekee mshua.
Nilikuja kuumbuka kwenye kikao cha wazazi.majibu yalibandikwa ukutani.hesabu Nina 15,
Baba nimempelekea 45.
 
Afadhari ya hayo kuliko yale sijui UMRI WA BIBI NI MARA TATU UMRI WA BABU NA MJUKUU ANA MIAKA SITA TAFUTA UMRI WA MDOGO WAKE yaani tabu tupu... hapa ndo mtu utamsikia SIO KAMA KUJIBU SIWEZI ILA KUFATILIA MAISHA YA WATU SIPENDI huku anakusanya
 
Kilo tano za pamba na kilo tano za mawe kipi kizito? Utasema wewe siyo mkulima au mgonga kokoto.
 
Afadhari ya hayo kuliko yale sijui UMRI WA BIBI NI MARA TATU UMRI WA BABU NA MJUKUU ANA MIAKA SITA TAFUTA UMRI WA MDOGO WAKE yaani tabu tupu... hapa ndo mtu utamsikia SIO KAMA KUJIBU SIWEZI ILA KUFATILIA MAISHA YA WATU SIPENDI huku anakusanya
39c81e732c044f962cef0600058f8488.jpg
 
Back
Top Bottom