Vihoja vya mitihani ya Shule ya msingi.

Vihoja vya mitihani ya Shule ya msingi.

Haha maumbo balaa sana
Kama humu,hebu nisolvie
cbaaa72bf728f97710a838b3f849780b.jpg
Aghhhh mambo gani sasa hayoo[emoji1] [emoji134] [emoji126]
 
Siku hyo nilikuwa mpolee.Mshua anamuuliza mwalimu mbona huyu mtoto uwa ananiletea mitihani amepata hesabu 45/50
Inakuwaje kwenye ubao ana 15.mwalimu anashangaa tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] usanii,vipi mkuu hukuchezea bakora
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] usanii,vipi mkuu hukuchezea bakora
Ilikuwa darasa la saba.mshua alikuwa hanipigi alikuwa ananiambia mambo ya kupigana yamepitwa na wakati.nimeshakuwa natakiwa kujiongoza mwenyewe.
Alimuachia hela mwalimu ili anifundishe tuition. Lakini mpaka namaliza la saba sikusoma tuition yake.sikuwahi kuipenda hesabu wala English.Mimi kiswahili na maarifa ya jamii.nilikuwa naenda sawa na vichwa vya darasa.
 
Acha basiii jombaa mi siyo shabiki wa hisabati tafadhali
Machalii wengi namba tunaikimbia aisee [emoji1] [emoji1] [emoji1] bt vipi mambo hayo ya mambo yamrkusaidia katika maisha yako?? Au labda kama umekuwa fundi kushona
 
Machalii wengi namba tunaikimbia aisee [emoji1] [emoji1] [emoji1] bt vipi mambo hayo ya mambo yamrkusaidia katika maisha yako?? Au labda kama umekuwa fundi kushona
Hahahaa ila ajabu namba ipo popote haiepukiki kwakweli maana hata fundi kushona anatumia hisabati
 
Hahahaaaa bora hata nimefungua jf nimetabasamu kidogo. Maana huku Cambodia kuna M-cambodia kaniudhiiii na isingekuwa ni nchini kwao ningekuwa jela.

Kwakweli me nilikuwa naanza kuchanganyikiwa swali la 8,aisee yanakuwa magumuuuu.Utakuta unarudi kwenye tuswali twa kwanza unajifanya unahakiki majibu.
Hapo Na njia unaonesha,msingi rahaaa
mkuu unahakiki majb sahihi badala ya kuendelea na lile swali la kurahisisha mlinganyo. Mara nyingi ni namba 30. Pale akina mimi ni kuruka naenda zangu ankra! Swali la mwisho. Hesabu bhana!!
 
Nilifidia masomo mengine mkuu,bt Namba ilikuwa changamoto! Mpaka tunazeeka sasa
Mkuu huo ndo ujanja ambao wengi tulifanya. Zinakugonga namba tunamalizana kwenye masomo mengine hadi mraba unatoboka.
 
Ukiangalia hili swali halijawahi nisaidia katika maisha yangu
Elimu ya bongo kwa zaidi ya 75% haina uhusiano wa moja kwa moja na maisha yetu. Tunashindiliwa maarifa mengi lkn maishani tunatumia kidogo sana. I wish combination zingeanzia std 4.
 
Ah thamani ya X inamaana nyingi mkuu, X ipi sasa maana zote nimekutana Nazo
X=penzi lililokufa
X=Mahabati
X=bomoa bomoa
hahahahhhaaaaaa! X ya hisabati siyo mahabati mkuu wangu.
 
Ilikuwa darasa la saba.mshua alikuwa hanipigi alikuwa ananiambia mambo ya kupigana yamepitwa na wakati.nimeshakuwa natakiwa kujiongoza mwenyewe.
Alimuachia hela mwalimu ili anifundishe tuition. Lakini mpaka namaliza la saba sikusoma tuition yake.sikuwahi kuipenda hesabu wala English.Mimi kiswahili na maarifa ya jamii.nilikuwa naenda sawa na vichwa vya darasa.
Ulitoboa mkuu?
 
Back
Top Bottom