[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Nakumbuka mtihani wa darasa la saba unaanzaga kama masikhara hivi!
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
halafu huko mbele sasa kuanzia swali la sita na saba hivi, utajutaa:
Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato. Land cruiser VX linatoka Chato saa nne kwenda Dar.
Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya land cruiser VX ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, zitakutana saa ngapi?
Doh
Hapo Sasa mi ntajuaje?!
Na hizi tochi zote barabarani na matuta! kuchimba dawa, kunywa chai ?!? [emoji2][emoji2]nilikuwa Siweki jibu lolote nakusanya tu!
Hapa kila mtu ni muhanga yaani usiulize, kuna swali moja niliwahi kuulizwa [emoji13] [emoji13] swali liko hv. "Kwanini ndege kutoka Dar kwenda Mwanza inatumia masaa ma3 lakini kutoka Mwanza kwenda Dar inatumia masaa manne" mi nikajibu "Kutoka Dar kwenda mikoani hakuna foleni lakini kutoka mikoani kuingia Dar kuna foleni, mfano mzuri pale Ubungo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Ulikuwa muhanga nini mkuu
Tehteh Hapo ulitisha mkuuHapa kila mtu ni muhanga yaani usiulize, kuna swali moja niliwahi kuulizwa [emoji13] [emoji13] swali liko hv. "Kwanini ndege kutoka Dar kwenda Mwanza inatumia masaa ma3 lakini kutoka Mwanza kwenda Dar inatumia masaa manne" mi nikajibu "Kutoka Dar kwenda mikoani hakuna foleni lakini kutoka mikoani kuingia Dar kuna foleni, mfano mzuri pale Ubungo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
teh ndege inatumia lami? au huko angani kuna foleni pia.Hapa kila mtu ni muhanga yaani usiulize, kuna swali moja niliwahi kuulizwa [emoji13] [emoji13] swali liko hv. "Kwanini ndege kutoka Dar kwenda Mwanza inatumia masaa ma3 lakini kutoka Mwanza kwenda Dar inatumia masaa manne" mi nikajibu "Kutoka Dar kwenda mikoani hakuna foleni lakini kutoka mikoani kuingia Dar kuna foleni, mfano mzuri pale Ubungo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Ulifauluje std VII kama ulikusanya tu? Au miundombinu ilitumika?Nakumbuka mtihani wa darasa la saba unaanzaga kama masikhara hivi!
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
halafu huko mbele sasa kuanzia swali la sita na saba hivi, utajutaa:
Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato. Land cruiser VX linatoka Chato saa nne kwenda Dar.
Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya land cruiser VX ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, zitakutana saa ngapi?
Doh
Hapo Sasa mi ntajuaje?!
Na hizi tochi zote barabarani na matuta! kuchimba dawa, kunywa chai ?!? [emoji2][emoji2]nilikuwa Siweki jibu lolote nakusanya tu!
Kama hujanielewa huwezi kunielewa, [emoji13] [emoji13] nimeulizwa ndege mi nimejibu kwa barabara, maana yake, nimeulizwa swali gumu na mimi nimetoa jibu gumu.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]teh ndege inatumia lami? au huko angani kuna foleni pia.
dah!! kazi ipoHapa kila mtu ni muhanga yaani usiulize, kuna swali moja niliwahi kuulizwa [emoji13] [emoji13] swali liko hv. "Kwanini ndege kutoka Dar kwenda Mwanza inatumia masaa ma3 lakini kutoka Mwanza kwenda Dar inatumia masaa manne" mi nikajibu "Kutoka Dar kwenda mikoani hakuna foleni lakini kutoka mikoani kuingia Dar kuna foleni, mfano mzuri pale Ubungo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kilo tano za pamba na kilo tano za mawe kipi kizito? Utasema wewe siyo mkulima au mgonga kokoto.Afadhari ya hayo kuliko yale sijui UMRI WA BIBI NI MARA TATU UMRI WA BABU NA MJUKUU ANA MIAKA SITA TAFUTA UMRI WA MDOGO WAKE yaani tabu tupu... hapa ndo mtu utamsikia SIO KAMA KUJIBU SIWEZI ILA KUFATILIA MAISHA YA WATU SIPENDI huku anakusanya
Hahahaha dah we hatari hahahahKilo tano za pamba na kilo tano za mawe kipi kizito? Utasema wewe siyo mkulima au mgonga kokoto.
Afadhari ya hayo kuliko yale sijui UMRI WA BIBI NI MARA TATU UMRI WA BABU NA MJUKUU ANA MIAKA SITA TAFUTA UMRI WA MDOGO WAKE yaani tabu tupu... hapa ndo mtu utamsikia SIO KAMA KUJIBU SIWEZI ILA KUFATILIA MAISHA YA WATU SIPENDI huku anakusanya
Hahahahahaha ndo hivi hivi
Asante kwa kuniachia GaddafHahahahaaaaaaaaaaa nashukuru kwa kunichekesha