Aghhhh mambo gani sasa hayoo[emoji1] [emoji134] [emoji126]Haha maumbo balaa sana
Kama humu,hebu nisolvie
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] usanii,vipi mkuu hukuchezea bakoraSiku hyo nilikuwa mpolee.Mshua anamuuliza mwalimu mbona huyu mtoto uwa ananiletea mitihani amepata hesabu 45/50
Inakuwaje kwenye ubao ana 15.mwalimu anashangaa tu.
Acha basiii jombaa mi siyo shabiki wa hisabati tafadhaliSolve tu chalii angu, tunakumbushana..
Ilikuwa darasa la saba.mshua alikuwa hanipigi alikuwa ananiambia mambo ya kupigana yamepitwa na wakati.nimeshakuwa natakiwa kujiongoza mwenyewe.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] usanii,vipi mkuu hukuchezea bakora
Hahahaa ila ajabu namba ipo popote haiepukiki kwakweli maana hata fundi kushona anatumia hisabatiMachalii wengi namba tunaikimbia aisee [emoji1] [emoji1] [emoji1] bt vipi mambo hayo ya mambo yamrkusaidia katika maisha yako?? Au labda kama umekuwa fundi kushona
Hahahahaaaaaa mathematics kwa kweli siiwezi kilaza mwenzanguNajua ulikuwa kilaza mwenzangu[emoji1]
The number you're calling is not reachable[emoji1]Haha maumbo balaa sana
Kama humu,hebu nisolvie
Dah... maumbo nilikua nakosa hata nikipiga chabo kwanza nilikua napita kama katika mtihani hayapo... namba acha kabisaHaha maumbo balaa sana
Kama humu,hebu nisolvie
sitak kuamin kam unakoromea wanao home kuwa namb hakun anaekushik ilikuwaMkuu namba ni habari nyingine
mkuu unahakiki majb sahihi badala ya kuendelea na lile swali la kurahisisha mlinganyo. Mara nyingi ni namba 30. Pale akina mimi ni kuruka naenda zangu ankra! Swali la mwisho. Hesabu bhana!!Hahahaaaa bora hata nimefungua jf nimetabasamu kidogo. Maana huku Cambodia kuna M-cambodia kaniudhiiii na isingekuwa ni nchini kwao ningekuwa jela.
Kwakweli me nilikuwa naanza kuchanganyikiwa swali la 8,aisee yanakuwa magumuuuu.Utakuta unarudi kwenye tuswali twa kwanza unajifanya unahakiki majibu.
Hapo Na njia unaonesha,msingi rahaaa
Niliona kama uliweka picha ya gadafi halafu umebadilisha na kuweka iliyopo sasa. Au nlitazama vibaya?Sijakuelewa
Mkuu huo ndo ujanja ambao wengi tulifanya. Zinakugonga namba tunamalizana kwenye masomo mengine hadi mraba unatoboka.Nilifidia masomo mengine mkuu,bt Namba ilikuwa changamoto! Mpaka tunazeeka sasa
Elimu ya bongo kwa zaidi ya 75% haina uhusiano wa moja kwa moja na maisha yetu. Tunashindiliwa maarifa mengi lkn maishani tunatumia kidogo sana. I wish combination zingeanzia std 4.Ukiangalia hili swali halijawahi nisaidia katika maisha yangu
hahahahhhaaaaaa! X ya hisabati siyo mahabati mkuu wangu.Ah thamani ya X inamaana nyingi mkuu, X ipi sasa maana zote nimekutana Nazo
X=penzi lililokufa
X=Mahabati
X=bomoa bomoa
Bado tu unaogopa hadi leo?Aghhhh mambo gani sasa hayoo[emoji1] [emoji134] [emoji126]
Ulitoboa mkuu?Ilikuwa darasa la saba.mshua alikuwa hanipigi alikuwa ananiambia mambo ya kupigana yamepitwa na wakati.nimeshakuwa natakiwa kujiongoza mwenyewe.
Alimuachia hela mwalimu ili anifundishe tuition. Lakini mpaka namaliza la saba sikusoma tuition yake.sikuwahi kuipenda hesabu wala English.Mimi kiswahili na maarifa ya jamii.nilikuwa naenda sawa na vichwa vya darasa.
Nilifeli sheikh.nikaenda privateUlitoboa mkuu?