Ingekuwa si kitu cha aibu wangemaliza nayo chuo ila cha kushangaza baada ya semester tu kuisha huyaoni tena.Huko chuoni kuna nini hasa cha mno?
Watoto wenyewe wa masikini hawa mnataka kuwalazimisha waishi maisha ya viwango fulani?
Sioni kama tranka ni sanduku la aibu kiasi hicho!
Wala hata usishangae. Aina ya watu hawa wanaowacheka hawa watoto wana ulimbukeni flani na wana inferiority complex ya ushamba, kwahiyo lazima wajitutumue kwamba wao sio washamba kwa kuwadhalilisha wenzao.Wajinga sana hawa!
Hii mitandao imefunua tabaka kubwa sana la wajinga na wajuaji wasiojua kitu!
Tranka haliwezi kuwa sanduku la aibu kiasi hicho mpaka kufikia hatua ya kudhalilisha hawa wanafunzi!
Actually, mimi mwenyewe nina tranka ofisini kwangu kubwa kama jeneza na nalipenda mno maana hakuna panya anayesogea humo! Nikiweka documents nina uhakika ziko salama mpaka yesu anarudi!
Oooh chuo kikuu...chuo kikuu my ass!
Hawa ndio aina ya watu wakifika vyuoni wanaolewa na madume wenzao kwa kupenda kuishi maisha fulani ya maigizo!
Nilishamaliza toka 2017
Jamaa anajichekesha ili aonekane yupo sawa hajamind ila moyoni anaumia hapo hvyo wanavyomfanyia na anaona aibu daah
Tarime ndyo natokeaaa, ila sijakiskia hiko chuo kama kipo[emoji12]Kipo huku kwetu Tarime
Wewe ndio una uelewa na mambo ya mjini!??Ha ha ha inachekesha ila hao wenye tranka nadhani wametoka vijijini hawana uelewa wowote na mambo ya chuo ni kuwasaidia tu
Kuna moja naliona mitandaoni limemrekodi binti yuko na chakula kabeba kwenye mifuko, linacheka hovyo na lafudhi yake ya kisukuma!Wala hata usishangae. Aina ya watu hawa wanaowacheka hawa watoto wana ulimbukeni flani na wana inferiority complex ya ushamba, kwahiyo lazima wajitutumue kwamba wao sio washamba kwa kuwadhalilisha wenzao.
Kipo hapa NyareroTarime ndyo natokeaaa, ila sijakiskia hiko chuo kama kipo[emoji12]
Hapo ni chuo gani mkuu?
Jamaa wanamcheka mwenzio hapo room[emoji23][emoji23][emoji23]