Vihoja wanavyofanya mwaka wa kwanza pindi wanapoingia chuoni kwa mara ya kwanza

Hicho ni chuo au kambi ya jkt
Na pia kutokuwa na smartphone unaturudisha miaka ya 1921
Mkuu sijasema wafunzwe siraha nasema wafanywe wakakavu,sijasema wasiwe kabisa na smartphone wasiingie nazo lecture room,leo mtoto anaenda chuo akimaliza anarudi na kitambi,kajifunza ulevi,ana poor saving behavior ,anachagua kazi za mati tai ,ni kwa sababu mnawaharibu kimtu kinaishi kwa boom (pesa ya wananchi wasioweza kula milo mitatu) afu anacheka mtu ambae hajawahi kula mshahara kutumia deka
 
GODZILLA, Bongo utawaweza watu mkuu
Hao wanaowacheka madogo wamesoma na ma tranka o level mpak high school wakati sisi hatukutumia ma tranka tulienda na bags na hatukuwacheka
 
Hata mimi nashangaa. Aibu inatoka wapi? Chuoni unataka sanduku la kwenye ndege? Watu wanayaiba hayo ya kwenye ndege. Sanduku la chuma ni salama chuoni. Simwelewi huyu kijana anayetaka kuonyesha kuwa sanduku la chuma halifai chuoni.
GODZILLA,
 
Kijana usijione mjanja. Haya ni maisha ya kawaida kwa watanzania walio wengi. Hata sisi ambao tuko kwenye maofisi makubwa leo hii tulipita huko. Wengine hatukuwa hata na pesa ya kununua sanduku la chuma. Lakini Mungu alitoa baraka zake na kutufikisha mbali. Acha watoto wa masikini wasome pia. Acha wajikune kwa kadiri ya urefu wa mikono yao. Usiwadhalilishe. By the way, sanduku la chuma sehemu yake ni chuoni. Halitamanishi wezi. Ukimaliza chuo unamwachia mtu hapo hapo unakwenda kununua la kwenye ndege uraiani.
francis mboya,
 
Mmeyafanya yawe ya aibu kwa kuwachamba na kuwapiga picha za kudhalilisha kama hizi. Vinginevyo hayana aibu yoyote. Ulimbukeni wa watu kama hawa na nyie unayafanya yaonekane ya aibu. Vinginevyo sanduku la chuma shuleni na jeshini ndio sehemu yake.
Ingekuwa si kitu cha aibu wangemaliza nayo chuo ila cha kushangaza baada ya semester tu kuisha huyaoni tena.
 
Mmeyafanya yawe ya aibu kwa kuwachamba na kuwapiga picha za kudhalilisha kama hizi. Vinginevyo hayana aibu yoyote. Ulimbukeni wa watu kama hawa na nyie unayafanya yaonekane ya aibu. Vinginevyo sanduku la chuma shuleni na jeshini ndio sehemu yake.
Shida hawa vijana wanabadilika kila kitu kuanzia mavazi mpka lifestly vijana wengi wa chuo wanaongoza kwa kuigiza maisha.
 
Don't take it seriously,,,,,, unaelewa nini maana ya utani ?????? acha tufurahi maisha yaende

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kweli we mshamba, Hujui tofauti ya Document na nyaraka !
 
Huyo jamaa aliyekuja na mfuko wa SHANGAZI KAJA ndio kaua kabisa aisee hata Profesa Ndalichako angekuwepo hapo angecheka nusu afe
 
Huyo jamaa aliyekuja na mfuko wa SHANGAZI KAJA ndio kaua kabisa aisee hata Profesa Ndalichako angekuwepo hapo angecheka nusu afe
Mimi nikiwa na vitu vingi vya kubeba ambavyo havitosho kwenye bag huwa ninatumia shangazi kaja ile kubwa na huwa sina aibu hata kidogo sababu najua ninachokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…