Vihoja wanavyofanya mwaka wa kwanza pindi wanapoingia chuoni kwa mara ya kwanza

Poa. Tunasubiri. Sema mwaka huu hautaweza tena, maana umemaliza chuo mwaka jana.
 
Duuuuh sasa mbona ni JKT hiyo lol
 
Huko chuoni kuna nini hasa cha mno?

Watoto wenyewe wa masikini hawa mnataka kuwalazimisha waishi maisha ya viwango fulani?

Sioni kama tranka ni sanduku la aibu kiasi hicho!
No ishu sio kuwalazimisha kuishi maisha ya viwango..ishu ni kwamba vyuoni kuna zile kabati wanaitaga locker ina maana hawakuwahi hata kuuliza mtaani kuhusu habari za vyuoni?...ndo tunashangaa hapo..ina maana kwao walikotoka ni kisiwani kiasi gani hadi wasipate info za nje?
 
namba 4 inanichoma hahaha
 
Huu uzi umenichekesha sana, ila kilichoniumiza n kuona chuo changu pendwa UDOM ndo kinaongoza.
 
Baadhi ya first year wakiwasili chuo wakiwa na matranka pamoja na ndoo kama unavyoona wamezishikilia kikamilifu hali hii imeshuhudiwa udom ndaki ya social science
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mweeeeeh lol, utadhan 4m 5 wana report school khaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…